Yanga SC acheni kumfanyia vurugu mchezaji Niyonzima wa Simba SC

Yanga SC acheni kumfanyia vurugu mchezaji Niyonzima wa Simba SC

kimarabucha

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
791
Reaction score
621
Hakika inashangaza sana kwa mashabiki wa klabu ya Yanga kutaka kumfanyia vurugu mchezaji halali wa klabu ya simba Haruna Niyonzima jana uwanja wa ndege wakati akirejea jijini Dar es salama kujiunga na timu yake ya simba.

Ililazimika viongozi wa simba wafanye kazi ya ziada. Nawakumbusha yanga mbona wamekuwa wanawasajili wachezaji wa simba kama Amis tambwe lakini mashabiki wa simba hawawafanyii vurugu wachezaji hao?

Sent using jamii forums mobile app
 
Sema baadhi ya Mashabiki na sio mashabiki wote.
Mbona Hazilimana hakufanyiwa vurugu zozote hapo uwanjani ?
Labda ni wasiwasi wako tu ndugu.
 
Sema baadhi ya Mashabiki na sio mashabiki wote.
Mbona Hazilimana hakufanyiwa vurugu zozote hapo uwanjani ?
Labda ni wasiwasi wako tu ndugu.

Wache wajipongeze kwa kubuni igizo lao wenyewe. Uwanja wa Ndege ni eneo nyeti ambalo usalama wake unadhibitiwa 24/7 kwa njia za siri na za dhahiri. Itawezekanaje kundi lolote lile liweze kufika hapo hadi kufikia kufanya fujo lisidhibitiwe?

Je, hilo limetokea? Wa ngapi wametiwa mbaroni? Mabomu Mangapwani ya kutoa machozi yalitupwa? Angefafanua basi 'kutaka kufanya fujo' ndiyo nini? Utashi huanzia rohoni ambako hauziwiliki, si ajabu wapenzi wa Simba rohoni mwao 'wakataka' Ajibu apoteze maisha kwa 'alivyowasaliti'. Ni sahihi kusema wanataka kumuua Ajibu?
 
Hakika inashangaza sana Kwa MASHABIKI Wa klabu ya Yanga kutaka KUMFANYIA VURUGU mchezaji halali Wa Klabu ya Simba Haruna NIYONZIMA jana uwanja Wa ndege wakati akirejea jijini Dar es salama kujiunga na timu yake ya Simba.Ililazimika viongozi Wa Simba wafanye kazi Ya ziada. Nawakumbusha Yanga mbona wamekuwa wanawasajili WACHEZAJI Wa Simba k.m.Amis TAMBWE LAKINI MASHABIKI Wa Simba hawawafanyii vurugu WACHEZAJI hao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema walitaka kumfanyia fujo,wewe ulijuaje kwamba walitaka kumfanyia fujo? Kama walitaka kumfanyia fujo ni nini kiliwazuia kutimiza kutaka kwao? Ni dalili zipi zilionesha kutaka kumfabyua fujo? Mwisho utashi huo unaweza kuuthibitisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wache wajipongeze kwa kubuni igizo lao wenyewe. Uwanja wa Ndege ni eneo nyeti ambalo usalama wake unadhibitiwa 24/7 kwa njia za siri na za dhahiri. Itawezekanaje kundi lolote lile liweze kufika hapo hadi kufikia kufanya fujo lisidhibitiwe? Je, hilo limetokea? Wa ngapi wametiwa mbaroni? Mabomu Mangapwani ya kutoa machozi yalitupwa? Angefafanua basi 'kutaka kufanya fujo' ndiyo nini? Utashi huanzia rohoni ambako hauziwiliki, si ajabu wapenzi wa Simba rohoni mwao 'wakataka' Ajibu apoteze maisha kwa 'alivyowasaliti'. Ni sahihi kusema wanataka kumuua Ajibu?
Ngada mnatia aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchezaji aliyetumika kwa misimu sita ya Ligi na club ya Yanga akiwa na nguvu ya kutosha,.. Leo keshachoka, nani wakumfanyia vurugu huyo!? Acheni kupamba maiti nyie.... Mnatafuta booster...
 
Mchezaji aliyetumika kwa misimu sita ya Ligi na club ya Yanga akiwa na nguvu ya kutosha,.. Leo keshachoka, nani wakumfanyia vurugu huyo!? Acheni kupamba maiti nyie.... Mnatafuta booster...
Maneno ya mkosaji hayo......eti leo kajichokea mbona mlitaka kumuongezea mkataba?

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Vurugu airport saa 9 alfajiri! How comes. Mleta mada acha utapeli. Wewe ni sawa na wale wanaodanganya watu kuwa msafara wa Rais ulizuiwa na wananchi barabarani. Usiamini kila kinachoandikwa kwenye gazeti ndugu.
 
Back
Top Bottom