Yanga SC bado tunamuhitaji Jerry Muro

Manara anatamani kitu km iko kitokee,maana ss hv anapayuka na hamna wa kumjibu,d 10 yupo kidigital zaidi
 
Kama kakutuma Muambie hatumtaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbwembwe majigambo ni mambo ya timu za mitaani zisizo jiamini.
Propaganda nyingiii uongo na visingizio kila timu inapofanya vibaya.

Binafsi msemaji kma Dismas Ten ndo anafaa kufanya kazi Yanga sio maneno meeengi yasio ya kiufundi yanayopaswa kusemwa na mashabiki yanasemwa na msemaji wa klabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…