Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Manara anatamani kitu km iko kitokee,maana ss hv anapayuka na hamna wa kumjibu,d 10 yupo kidigital zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kakutuma Muambie hatumtakiWakuu habari zenu,
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu,
Mimi kwa mtazamo wangu tunamuhitaji bado Jerry Muro awe msemaji wetu la sivyo tutaendelea kunyanyaswa kwa kauli za wakina Haji Manara.
Mpaka sasa sizani kama tuna msemaji wa Timu, maana kila siku kimya tuu yaani haiwezekani. Mechi ya juzi na watani wetu Simba tulitawaliwa vikali kuanzia kwenye mitandao mpaka majukwaani.
Mashabiki pia tunahitaji msemaji atakae amsha morali yetu sisi mashabiki.
Ni hayo tu kwa wana YANGA.
Karibuni ili tupaze sauti zetu.
***YANGA SC DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.***
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jerry ni mnafiki mwenzio,na ukizeeka ww utarithi upumbavu km yule mzee akilimali!