GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani ni Free Agent baada ya Mkataba wake Kuisha huko SC Villa na aliyekuwa Kocha Wenu Micho Kawadanganyeni mumchukue mmeingia Mkenge kweli na Kumsajili.
Uganda ni my Second Home na nina Rafiki zangu wengi sana huko na kila ninayemuulizia kuhusu Uwezo wa huyu Mchezaji jibu la haraka ninalopewa ni kuwa ni mbovu na hata Mimi GENTAMIYCINE nikitanya Mazoezi na kwa Kipaji changu cha Asili cha Mpira nitakuwa mzuri kuliko Yeye.
Simba SC ya Msimu huu mtaikoma!!!