MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Swali lako halina mashiko. Hivyo nashauri tulitupe tu humu š® kama hutojali.Sasa kama mnasema Mchezaji wenu mpya mnayemsajili kwa Mkopo japo mnaficha Jesus Ducapel Moloko ni mzuri kuliko mliyemsifia zaidi na aliyeondoka Tuisila Kisinda na kwamba Kisinda alikuwa anawekwa Benchi nae kwanini hamkumsajili Yeye mapema ili muwe nae na awasaidie Kubeba Kombe la VPL na ASFC?
Mbona kama vile umeielewa vyema tu?sentensi ndefu sana bila alama ya koma au nukta inakua haieleweki.
Kajifunze kuandika kwanzaSasa kama mnasema Mchezaji wenu mpya mnayemsajili kwa Mkopo japo mnaficha Jesus Ducapel Moloko ni mzuri kuliko mliyemsifia zaidi na aliyeondoka Tuisila Kisinda na kwamba Kisinda alikuwa anawekwa Benchi nae kwanini hamkumsajili Yeye mapema ili muwe nae na awasaidie Kubeba Kombe la VPL na ASFC?
Ni mwenzetu tulipata naye zero olevo!sentensi ndefu sana bila alama ya koma au nukta inakua haieleweki.
Usijali Ndugu najua wana Shida sana.Swali lako limeeleweka,ila wahusika wanajifanya eti awajakuelewa!,hao ndo Utopolo.
Huu uzi ni takatakaš®Sasa kama mnasema Mchezaji wenu mpya mnayemsajili kwa Mkopo japo mnaficha Jesus Ducapel Moloko ni mzuri kuliko mliyemsifia zaidi na aliyeondoka Tuisila Kisinda na kwamba Kisinda alikuwa anawekwa Benchi nae kwanini hamkumsajili Yeye mapema ili muwe nae na awasaidie Kubeba Kombe la VPL na ASFC?