Yanga SC bwana

Yanga SC bwana

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Sasa kama mnasema Mchezaji wenu mpya mnayemsajili kwa Mkopo japo mnaficha Jesus Ducapel Moloko ni mzuri kuliko mliyemsifia zaidi na aliyeondoka Tuisila Kisinda na kwamba Kisinda alikuwa anawekwa Benchi nae kwanini hamkumsajili Yeye mapema ili muwe nae na awasaidie Kubeba Kombe la VPL na ASFC?
 
Daima mbele nyuma mwiko
Simba nguvu moja

mtoa mada ujue kuwa mchezaji mpya anaposajiriwa na timu husika anakuwa na matarajio makubwa ya kufanya vizuri na huwa wanafanya kupunguza mchezaji wa nafasi yake ili kupunguza gharama .
Inapotokea matarajio yameenda tofauti au wamempata mzuri zaidi yake na yeye, swala kuuzwa halizuiliki.
Huo ndio mpira.
 
Sasa kama mnasema Mchezaji wenu mpya mnayemsajili kwa Mkopo japo mnaficha Jesus Ducapel Moloko ni mzuri kuliko mliyemsifia zaidi na aliyeondoka Tuisila Kisinda na kwamba Kisinda alikuwa anawekwa Benchi nae kwanini hamkumsajili Yeye mapema ili muwe nae na awasaidie Kubeba Kombe la VPL na ASFC?
Swali lako halina mashiko. Hivyo nashauri tulitupe tu humu 🚮 kama hutojali.
 
Yanga wao huwa wanasifia sana na kushangilia wanapo sajiri wachezaji.
Mwisho wa siku lawama zate kwa TFF na Marafarii.

Lugha ya Kilingala sasa itakuwa lugha rasmi kwa wachezaji wa Yanga.
Kwakuwa 90% of players are from Lubumbashi and Kisangani Kongo Kinshasa.
 
Sasa kama mnasema Mchezaji wenu mpya mnayemsajili kwa Mkopo japo mnaficha Jesus Ducapel Moloko ni mzuri kuliko mliyemsifia zaidi na aliyeondoka Tuisila Kisinda na kwamba Kisinda alikuwa anawekwa Benchi nae kwanini hamkumsajili Yeye mapema ili muwe nae na awasaidie Kubeba Kombe la VPL na ASFC?
Kajifunze kuandika kwanza
 
Chama alikuwa Simba kwa mkopo, wakala wake kaamua kumuuza uarabuni.
 
Peleka moto huko huko wasipumie kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa kama mnasema Mchezaji wenu mpya mnayemsajili kwa Mkopo japo mnaficha Jesus Ducapel Moloko ni mzuri kuliko mliyemsifia zaidi na aliyeondoka Tuisila Kisinda na kwamba Kisinda alikuwa anawekwa Benchi nae kwanini hamkumsajili Yeye mapema ili muwe nae na awasaidie Kubeba Kombe la VPL na ASFC?
Huu uzi ni takataka🚮
 
Back
Top Bottom