GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Haiwezekani tunaroga sana ili Kuzicheza Mechi zao lakini bado Mtu wao anatetema na Kutukera zaidi.
Haiwezekani tunafanya kila aina ya Umafia ili Wakwame na Mtetemaji wao angalau hata aumie lakini Wanashinda na haumii.
Haiwezekani Posho ya Wachezaji katika Mechi mbili za Mbeya City na Kagera Sugar iliminywa hadi Wachezaji Kususa na Kufungwa kule halafu nyie Viongozi Watatu mmejikausha tu mkiendelea Kutuzuga.
Nitaanza na Wewe uliyeukosa Ubunge. Simba SC siyo ya Kufungwa Kizembe vile na Washamba ( Mambwiga ) Mbeya City na Kagera Sugar bali kuna Watu ( tena Virusi ) ndani ya Simba SC 'mlichomesha' Makusudi Kimkakati ili Simba SC tuzidiwe Alama ( Points ) kuanzia 6 mpaka 12 kisha leo hii nanyi mpo katika Payroll ya Godoro Safi Mno Company.