Yanga SC ikiifunga Azam FC Uvumilivu utanishinda na kuna Viongozi Watatu wa Simba SC nitakula nanyi sahani Moja

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Haiwezekani tunaroga sana ili Kuzicheza Mechi zao lakini bado Mtu wao anatetema na Kutukera zaidi.

Haiwezekani tunafanya kila aina ya Umafia ili Wakwame na Mtetemaji wao angalau hata aumie lakini Wanashinda na haumii.

Haiwezekani Posho ya Wachezaji katika Mechi mbili za Mbeya City na Kagera Sugar iliminywa hadi Wachezaji Kususa na Kufungwa kule halafu nyie Viongozi Watatu mmejikausha tu mkiendelea Kutuzuga.

Nitaanza na Wewe uliyeukosa Ubunge. Simba SC siyo ya Kufungwa Kizembe vile na Washamba ( Mambwiga ) Mbeya City na Kagera Sugar bali kuna Watu ( tena Virusi ) ndani ya Simba SC 'mlichomesha' Makusudi Kimkakati ili Simba SC tuzidiwe Alama ( Points ) kuanzia 6 mpaka 12 kisha leo hii nanyi mpo katika Payroll ya Godoro Safi Mno Company.
 
Kuna muda we jamaa sijui huwa unaandika nini au fyuzi hazifanyi kazi
Kuna mahala nimeweka Tangazo Kwenu 'Certified Fools' kama Wewe hapa JamiiForums kuwa ni lazima muwe mnasoma Nyuzi zangu au mnachangia Mada zangu? Ndiyo maana huwa Nawadharau na Nawasanifu mno tu ila hamjishtukii.
 
Haiwezekani tunaroga sana ili Kuzicheza Mechi zao lakini bado Mtu wao anatetema na Kutukera zaidi.

Haiwezekani tunafanya kila aina ya Umafia ili Wakwame na Mtetemaji wao angalau hata aumie lakini Wanashinda na haumii.

Haiwezekani Posho ya Wachezaji katika Mechi mbili za Mbeya City na Kagera Sugar iliminywa hadi Wachezaji Kususa na Kufungwa kule halafu nyie Viongozi Watatu mmejikausha tu mkiendelea Kutuzuga.

Nitaanza na Wewe uliyeukosa Ubunge. Simba SC siyo ya Kufungwa Kizembe vile na Washamba ( Mambwiga ) Mbeya City na Kagera Sugar bali kuna Watu ( tena Virusi ) ndani ya Simba SC 'mlichomesha' Makusudi Kimkakati ili Simba SC tuzidiwe Alama ( Points ) kuanzia 6 mpaka 12 kisha leo hii nanyi mpo katika Payroll ya Godoro Safi Mno Company.
hahahahhahahahah eti anatetema na kutukera zaidii
 
Yanga anakufa goli mbili safi hapo chamazini we are @azamFC
 
Haiwezekani tunaroga sana ili Kuzicheza Mechi zao lakini bado Mtu wao anatetema na Kutukera zaidi.

Haiwezekani tunafanya kila aina ya Umafia ili Wakwame na Mtetemaji wao angalau hata aumie lakini Wanashinda na haumii.

Haiwezekani Posho ya Wachezaji katika Mechi mbili za Mbeya City na Kagera Sugar iliminywa hadi Wachezaji Kususa na Kufungwa kule halafu nyie Viongozi Watatu mmejikausha tu mkiendelea Kutuzuga.

Nitaanza na Wewe uliyeukosa Ubunge. Simba SC siyo ya Kufungwa Kizembe vile na Washamba ( Mambwiga ) Mbeya City na Kagera Sugar bali kuna Watu ( tena Virusi ) ndani ya Simba SC 'mlichomesha' Makusudi Kimkakati ili Simba SC tuzidiwe Alama ( Points ) kuanzia 6 mpaka 12 kisha leo hii nanyi mpo katika Payroll ya Godoro Safi Mno Company.

Huu msimu Ni wa yanga. Simba ijaribu mwakani.
 
Yanga atampiga Azam mchana peupe kisha Simba atakeketwa kwenye kadamnasi
 
So Unategemea Azam Atamfunga Yanga? Kuifananisha Yanga na Azam ni Sawa na Kuifananisha Kitambi na Mimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiwezekani tunaroga sana ili Kuzicheza Mechi zao lakini bado Mtu wao anatetema na Kutukera zaidi.

Haiwezekani tunafanya kila aina ya Umafia ili Wakwame na Mtetemaji wao angalau hata aumie lakini Wanashinda na haumii.

Haiwezekani Posho ya Wachezaji katika Mechi mbili za Mbeya City na Kagera Sugar iliminywa hadi Wachezaji Kususa na Kufungwa kule halafu nyie Viongozi Watatu mmejikausha tu mkiendelea Kutuzuga.

Nitaanza na Wewe uliyeukosa Ubunge. Simba SC siyo ya Kufungwa Kizembe vile na Washamba ( Mambwiga ) Mbeya City na Kagera Sugar bali kuna Watu ( tena Virusi ) ndani ya Simba SC 'mlichomesha' Makusudi Kimkakati ili Simba SC tuzidiwe Alama ( Points ) kuanzia 6 mpaka 12 kisha leo hii nanyi mpo katika Payroll ya Godoro Safi Mno Company.
 
Attachments

  • 1648038552656.mp4
    1 MB
Back
Top Bottom