Yanga SC ikishinda leo na Kufuzu Fainali CAFCC nawakabidhi Mke wangu Mrembo mserebuke nae kwa Siku 3

Pale mdomo unapomponza mtu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana vijana hawataki kuoa, kama mtu anaweza mgawa mkewe hivi! 😅
 
(Nje ya mada) Sometimes wanawake wana dharau sana. Nawachukia sana wanawake isipokuwa mama yangu
 
Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Utatoa wapi mke wakati Wewe mwenyewe ni mke wa mtu?
Mtu mwenye anaijua thamani ya mke, kamwe hawezi hawezi akamhusisha mke wake na aina yeyote ya ujinga wa aina hii.
 
Baada ya Yanga SC Kushinda leo na Kuahidi kumtoa Mke wangu ambaye hata hivyo sina huyo Mke niseme tu Asanteni kwa Ushirkiano wenu juu ya huu Uzi wangu hasa kwa Kuuchangia na Kuchangamshana.
Tuliza mshono. Sogeza mkeo hapa atatuliwe linda
 
Vitu vingine uwa ni laana sio vizur kuviongea ama kujitabiria [emoji51]
 
Siku hizi watu hawana time na wake za watu, ili apate gono sugu? Ungebet vitu vya maana zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…