Yanga SC inabebwa, kwa nini Azam wacheze kiporo chao leo ila Yanga hawajacheza?

wakati azam inasafiri kuelekea Afrika kusini siku ya jumatano kama leo, huku azam ikiwa na viporo vitatu ,yanga ilishuka dimbani kucheza na A.sport wakati wikiedi hiyohiyo moja yanga ilisafiri kwenda Rwanda kucheza na APR.

Je ulishawahi kuandika kuwa Azam inabebwa kwa sababu hawakucheza wakati wenzao yanga walicheza na wote wakikabiliwa na michezo ya kimataifa ktk wikiendi moja??
 
Litimu lenu la siasa kila kitu siasa.Tunahitaji timu bora,Yanga kwasasa ni timu mbovu kabisa.Jmosi matokeo labda wachakachuzi wafanye mambo nje na hapo mtachapwa ndani na nje.
 
maneno ya mkosaji, na mfamaji siku zote haishi kutapatapa. Mara yanga inabebwa mara ni ccm. Hamchoki kusema? nachoamini kama timu ni mbovu ata ikibebwaje lazima ifungwe tu, yanga ni timu bora kwasasa hapa Tanzania, kitu kinachowaponza ni misifa, yanga wanapenda sana sifa, na wanapofungwa huwa wanapanic. Ushauri: Simba wacheze mpira waache kuilaumu tff eti inawabeba yanga, maana kufanya ivyo ni kutuaminisha methali isemayo "mbaazi hakikosa usingizia jua". ushauri kwa azam: wacheze mpira waache kuwalaumu waamuzi eti wanawabania.
 
Yanga bila kadi nyeusi hakunaga ushindi lkn hata mech ya Jana Azam walibebwa angalia gori kipa alimdaka mshambuliaji wa Ndanda na ikatolewa penalty lkn hakuna kadi
 



Arsanal nao walalamike kingpower ana muda mrefu hachez mech anapumzika sna mana ratiba ilimbana arsenal.
 
TFF useless kabisa hawana meno kabisa ni kama nyuki wa mashine vile...Ila Azam FC safari hi pumzi inakata mapema mechi ya jana. Ilikuwa si ya kutoa sare
 
Nani hajui kuwa TFF ni ya Yanga? Huku malinzi Kyle Mwesiga huku kavukuta Afisa habari Tafadhalini TFF acheni kubeba klabu moja
 
Arsanal nao walalamike kingpower ana muda mrefu hachez mech anapumzika sna mana ratiba ilimbana arsenal.
Kafungue uzi tuje kuhusu hii, epl ya wazungu, hainihusu mimi.
 
Nashukuri kwa taarifa, ila kwani mpaka sasa au muda huo yanga wanacheza kila mmoja alikuwa na viporo vingapi?
Sasa hivi viporo ni vinhapi kati ya azam na yanga?
 
Yanga inabebwa, KWA NINI LEO HAWAJACHEZA VIPORO VYAO ILHALI AZAM WAMECHEZA?
Mnachotakiwa kujivunia ni mnajua kumshikilia anayewabeba.
Mkuu usitoke povu bure na Yanga! Azam walikubali wenyewe kucheza hii mechi! TFF walizipa off timu zote 2 ila Azam wakasema wao watacheza
 
Nashukuri kwa taarifa, ila kwani mpaka sasa au muda huo yanga wanacheza kila mmoja alikuwa na viporo vingapi?
Sasa hivi viporo ni vinhapi kati ya azam na yanga?
wakati huo azam alikuwa na viporo vitatu, yanga viwili, sasa baada ya azam kucheza jana amebakiwa na kiporo kimoja yanga viwili.
 
Yanga ya Malinnzi hivyo viongozi wa TFF.
Anashutumiwa kuwa eti anahusika na mchezo mchafu wa zile timu nne zilizoshushwa daraja. Sina hakika kama atarudi tena labda ile kitu ya ndani ya pochi itumike.
 
Yanga kubebwa na tff & ccm siyo siri na haijaanza leo. hata jengo lao walijengewa/walipewa bure na Karume
Jengo la Simba alianza kujenga nani? Nani aliwapa jina la Simba badala ya Sunderland?
 
Azam aliamua kucheza na kiporo kimechacha. Sasa lawama zinaenda Yanga. Simba anaongoza ligi lakini kwa kujua pale si nafasi yake anataka viporo vya Yanga viishe ili akae sehemu aliyozoea
 
Hivi mnakumbuka kuwa Azam fc walienda kucheza bonanza kule Ndola/ Zambia wakaaacha viporo vyao haya sasa umeme wa mgao viporo vinachacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…