cnjona
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 1,027
- 239
wakati azam inasafiri kuelekea Afrika kusini siku ya jumatano kama leo, huku azam ikiwa na viporo vitatu ,yanga ilishuka dimbani kucheza na A.sport wakati wikiedi hiyohiyo moja yanga ilisafiri kwenda Rwanda kucheza na APR.Habari zenu!
Hii ligi ya VPL inaonyesha inaendeshwa kimagumashi tu. Inakuaje Azam Fc ina viporo kama Yanga, jumamosi wamecheza Mwanza na Yanga walicheza TENA dar es salaam ila leo jumatano Azam wamecheza tena kupunguza kiporo chao ila Yanga hawajacheza. Hii ni wazi kuwa Yanga inabebwa.
Azam wanatakiwa wacheze tena jumapili/ jumapili tena mechi ya kimataifa, Yanga pia wanatakiwa wacheze jumamosi/ jumapili mechi ya kimataifa, KWA NINI AZAM RATIBA YAO IMESEMA WACHEZE LEO NA YANGA WASICHEZE AU KWA NINI AZAM NAO RATIBA YAO INGESEMA WASICHEZE LEO?
Huu upuuzi wa kubebana ni moja ya vigingi vinavyotuzuia kusonga mbele ktk soka.
Asanteni.
P.s: Azam Fc leo wamedroo na Ndanda Fc, waliongoza kwa bao mbili bila kipindi cha kwanza, Ndanda wakasawazisha zote.
Goli za azam: Singano na kavumbagu.
Goli za ndanda: Atupele kwa penati na Aggrey Morris' own goal.
Je ulishawahi kuandika kuwa Azam inabebwa kwa sababu hawakucheza wakati wenzao yanga walicheza na wote wakikabiliwa na michezo ya kimataifa ktk wikiendi moja??