Tena wanalia lia mpaka wanatia huruma, kuna kipindi mashabiki wao walikuwa wanasema kuwa viporo wao haviwahusu sasa mbona hawaachi kupiga midomo????? Mara ooooh tunataka kutoa tamko, mara ooooh hatuchezi mechi mpaka yanga na azam wamalize viporo. Hawa mikia sijui vipi!!!! Mbona kagera suger na yenyewe imecheza game nyingi kuliko yanga na azam lakini hawalii lii kama Mikia!!!!!
Kila mara huwa nasema bila kuing'oa Yanga hapo juu,tutaendelea kichwa cha mwendawazimu.Yanga inaua mpira wa Tanzania,angalia kadi nyekundu zonavyotolewa ovyo pindi yanga akicheza na timu pinzani.