Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wanalia lia mpaka wanatia huruma, kuna kipindi mashabiki wao walikuwa wanasema kuwa viporo wao haviwahusu sasa mbona hawaachi kupiga midomo????? Mara ooooh tunataka kutoa tamko, mara ooooh hatuchezi mechi mpaka yanga na azam wamalize viporo. Hawa mikia sijui vipi!!!! Mbona kagera suger na yenyewe imecheza game nyingi kuliko yanga na azam lakini hawalii lii kama Mikia!!!!!Mikia kila siku kulialia
Kila mara huwa nasema bila kuing'oa Yanga hapo juu,tutaendelea kichwa cha mwendawazimu.Yanga inaua mpira wa Tanzania,angalia kadi nyekundu zonavyotolewa ovyo pindi yanga akicheza na timu pinzani.