OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wewe unajua mpira mkuu, achana na mashabiki maandanzi wanaodhani Uamzi kwenye mpira ni sawa na msibani kwamba marehemu hasemwi vibaya. Kazimoto kakosewa tena sana lakini kitendo cha kuzunguka uwanja mzima kumsaka mbaya wake alipize kisasi ni utovu wa Nidhamu uliovuka mipaka.Lamine kafanya makosa. Lakini retaliation au attempt to retaliate by Kazimoto japo inaelezeka, imemgharimu kadi nyekundu isiyo ya lazima.
Lamine anastahili kupumzishwa kwa adhabu ya muda gani?Lamine kafanya makosa. Lakini retaliation au attempt to retaliate by Kazimoto japo inaelezeka, imemgharimu kadi nyekundu isiyo ya lazima.
Soccer ina kanuni zake sio kufanya maamuzi ya busara.Lamine anastahili kupumzishwa kwa adhabu ya muda gani?
Mkuu hivi yule aliyecheza rafu pale. Ndo zikaanza fujo hakustahili red card kweliYanga wanavyolia lia leo sijui watamlilia nani?
Maana wakifingwa wameonewa,wakishinda wanajua, wakitoa sare maneno hayaishi.Sasa leo wamebebwa kabisa wazi wazi.Kazimoto hakustahili red card.
naunga mkono hoja,ningekuwa TFF ningemfungia miaka 7 mpuuzi huyuTFF wamfungie huyu muhuni Lamine hata miezi sita, huu si uungwana ktk mpira,,, lile buti la kiuno lingeweza kumgharimu maisha ya Soka Kazimoto
KumekuchaLigi yetu wahuni ni wengi. Adhabu haziwezi kuwa selective.
Angalieni mhuni mwingine huyu.
Kazimoto anajua ngumi usimchukulie POA, huyo Lamine angekalishwa kirahisi Sana, usicheze na kazimoto!Kazimoto bhana eti alitaka akazichape na Lamine!?? Jitu lote lile? Ila Lamine hakuwa muungwana kabisa pale! Angeweza muumiza vibaya mwenzake! Mwinyi angeonywa hata kwa kadi ya njano ingetosha!