Yanga SC kumkata milioni 1 Lamine Moro kwa vitendo vya kihuni

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
104166981_1718749661624601_7643162593650380745_o.jpg
 
ilibidi afukuzwe huyu muhuni, hiyo adhabu ndogo sana
 
Anasatahili, halafu mbona hata Kazimoto alikuwa hafanyi fujo
 
Yanga wanavyolia lia leo sijui watamlilia nani?

Maana wakifingwa wameonewa,wakishinda wanajua, wakitoa sare maneno hayaishi.Sasa leo wamebebwa kabisa wazi wazi.Kazimoto hakustahili red card.
 
Lamine kafanya makosa. Lakini retaliation au attempt to retaliate by Kazimoto japo inaelezeka, imemgharimu kadi nyekundu isiyo ya lazima.
 
Wewe unajua mpira mkuu, achana na mashabiki maandanzi wanaodhani Uamzi kwenye mpira ni sawa na msibani kwamba marehemu hasemwi vibaya. Kazimoto kakosewa tena sana lakini kitendo cha kuzunguka uwanja mzima kumsaka mbaya wake alipize kisasi ni utovu wa Nidhamu uliovuka mipaka.
 
Kazimoto bhana eti alitaka akazichape na Lamine!?? Jitu lote lile? Ila Lamine hakuwa muungwana kabisa pale! Angeweza muumiza vibaya mwenzake! Mwinyi angeonywa hata kwa kadi ya njano ingetosha!
 
Lamine kafanya makosa. Lakini retaliation au attempt to retaliate by Kazimoto japo inaelezeka, imemgharimu kadi nyekundu isiyo ya lazima.
Lamine anastahili kupumzishwa kwa adhabu ya muda gani?
 
TFF wamfungie huyu muhuni Lamine hata miezi sita, huu si uungwana ktk mpira,,, lile buti la kiuno lingeweza kumgharimu maisha ya Soka Kazimoto
 
Ee kumbe alipigwa buti la kiuno!! Poleni sana aisee
 
Yanga wanavyolia lia leo sijui watamlilia nani?

Maana wakifingwa wameonewa,wakishinda wanajua, wakitoa sare maneno hayaishi.Sasa leo wamebebwa kabisa wazi wazi.Kazimoto hakustahili red card.
Mkuu hivi yule aliyecheza rafu pale. Ndo zikaanza fujo hakustahili red card kweli
 
TFF wamfungie huyu muhuni Lamine hata miezi sita, huu si uungwana ktk mpira,,, lile buti la kiuno lingeweza kumgharimu maisha ya Soka Kazimoto
naunga mkono hoja,ningekuwa TFF ningemfungia miaka 7 mpuuzi huyu
 
Ligi yetu wahuni ni wengi. Adhabu haziwezi kuwa selective.

Angalieni mhuni mwingine huyu.
 
Attachments

  • nebroninsports__20200618_1.mp4
    147.4 KB
Aisee yule jamaaa alifaa adhabu kali sana ile siyo soka.
 
Kazimoto bhana eti alitaka akazichape na Lamine!?? Jitu lote lile? Ila Lamine hakuwa muungwana kabisa pale! Angeweza muumiza vibaya mwenzake! Mwinyi angeonywa hata kwa kadi ya njano ingetosha!
Kazimoto anajua ngumi usimchukulie POA, huyo Lamine angekalishwa kirahisi Sana, usicheze na kazimoto!

Hilo body Ni boflo tu!
 
Back
Top Bottom