NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
NALIA NGWENA huwa sipendi kupepesa macho katika Jambo la ukweli.
Yanga Sc inaviungo wengi wakabaji na ninadhani kwa pale Yanga ndiyo eneo lenye viungo wengi.
Namba 6,8 Kuna Khalid Aucho, Sureboy, Zawadi Mauya,Yaniki bangala na Yahya Mudathir.
Jonas Mkude kwa asilia ni namba 6 ambapo kwa Yanga Kuna Mudathir, bangala, na nikitazama kiwango Cha Mkude sidhani Kama ataweza kumuweka benchi bangala au Mudathri hata Kama atawekwa namba 8 acheze bado naiona nafasi ya Sure boy mbele ya Jonas Mkude.
Kama hizi tetesi ni kweli Yanga watamsajili Jonas Mkude Basi ni matumizi mabaya ya fedha huo ni ukweli usiopingika.
Usajili wa Jonasi Mkude ni siasa ya mpira tu sidhani Kama ana umuhimu /uhitaji mkubwa katika kikosi Cha Yanga Sc.
Nawasilisha hoja.