NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #41
KIKO WAPI SASA??Wenye timu wanajua mahitaji ya Mkude.
Huenda miongoni mwa hao uliowataja wakaachwa na timu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KIKO WAPI SASA??Wenye timu wanajua mahitaji ya Mkude.
Huenda miongoni mwa hao uliowataja wakaachwa na timu.
NINI MAANA YA KUTOA MAONIhaya yawe matumizi mabaya na iwe wamemsajili,inakuhusu nini wewe?
TAHRA WEWEKwani hizo hela Ni zako. Mpaka zikutie uchungu. Kajifungue,shubamiti!
KAENDA SASANungunungu hawezi kwenda Utopolo...
UNAONA ANACHOKIFANYAHata mudathir mulisema ivo ivo uyo na mamba 6 oji
MUDA BADO TU.Muda utaongea.Tusiandikie mate wakati wino upo.
KWELI KABISA.Kama haya ni kweli basi Kuna utahira hapo yanga!!
KWELI KABISAYametimia
SIJUI PALE KIKOSINI ANA KAZI GANI??Hata mimi niliona.
HUNA HOJAKwani hizo hela Ni zako. Mpaka zikutie uchungu. Kajifungue,shubamiti!
UNAONGELEA MECHI GANIAcheni ujinga... Yanga inasajili wachezaj wa aina ya mkude ili wawe wanacheza mechi za ndani ambapo wachezaj tegemewa wanawakuwa wamechoka baada ya kucheza mechi nyingi za kimataifa...
Hamjaona msimu huu wachezaj walivyoteseka...
KAZI YAKE IPO WAPI?Hata mudathir mulisema ivo ivo uyo na mamba 6 oji
TAYARI UMEONGEA.Muda utaongea.Tusiandikie mate wakati wino upo.
ULIKUA NI UJINGA TU.Usajili ya kukomoana ati.