Yanga sc kumsajili Jonas Mkude ni matumizi mabaya ya fedha

Acheni ujinga... Yanga inasajili wachezaj wa aina ya mkude ili wawe wanacheza mechi za ndani ambapo wachezaj tegemewa wanawakuwa wamechoka baada ya kucheza mechi nyingi za kimataifa...
Hamjaona msimu huu wachezaj walivyoteseka...
UNAONGELEA MECHI GANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…