Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
Kwenye list ya mabillionea wa africa Manji anashika nafasi ya ngapi?Quality Group Limited is Tanzania's largest conglomerate with 17 companies in the automotive, engineering products, international trade, logistic solutions and warehousing, real estate development, food processing, consulting, transport, aluminiumand fisheries sectors...Kawadanganye wanywa kahawa wenzako..kama ulikuwa hujui Manji ndio tajiri namba moja Tanzania... Quality Group ina thamani ya 13 Billion's... Tigo peke yake Manji anamiliki 99% ina thamani ya $ 1.4billion...Muulize Mo anavyomuogopa Yusuf.....alafu kuna jitu lingine lingine linaitwa Shubhash Patel hatari...wote wanarudi kundini 10 June....alafu Chirwa mchukueni hana hata footwork nzuri...Tshitshimbi hamuwezi kuvunja mkataba wake...
au ndio hapendi kujionyesha.