Tetesi: Yanga sc Kushusha Mbadala wa Aucho

Tetesi: Yanga sc Kushusha Mbadala wa Aucho

Hii inaitwa mihemko... Umewahi kucheza hata mpira wa pete?, Unajua joto linapompanda mchezaji?. Yanga itachukua miaka 10+ kupata kiungo wa karba ya Aucho!!.
Umemaliza wasipokuelewa hapa ndo basi tena
 
Mkuu, Asante sana.
Ila naomba nikurekebishe hakukosa fainali ya pili, alikosa fainali zote mbili kwa sheria ya CAF.

Fikiria mtu anafanya kosa la kuigharimu timu wakati ambao team inaongoza kwa Aggregate ya 3-0 ugenini, tena nusu fainali na ni dakika za mwishoni hapo mahesabu yote ni fainali.

Anatokea mjinga mmoja anampiga makusudi mwenzie na mpira nje ya uwanja, wakati anajua ana kadi 2 za njano tayari!

Hao wanaoongea nimewaacha tu, sitaki ubishani kwakuwa nafahamu ninachozungumza.

Hakuna mechi yoyote ya Yanga niliyoikosa msimu wote uliopita iliyochezwa Dar, sio ligi sio klabu bingwa wala shirikisho.
Huyo Aucho namjua vya kutosha, na nilikuwa namkubali kuliko wao.
Ukiona mpaka nafikia kusema hivi ni wazi amefikia kiwango cha mwisho cha makosa ya kizembe.

Kwa akili ya kawaida tu, kwanini huo uamuzi wa usajili wa mbadala wake uje sasa? Ni kwamba hadi ngazi ya uongozi wa klabu wameshaona hatari ya Aucho kuigharimu timu wakati huu ambao timu inasaka rekodi mpya.
Kocha alipaswa kumlinda kwa kumtoa mapema. Nabi alipaswa kujua udhaifu was Aucho sawa na umuhimu wake katika timu.

Tutafute mtu sahihi ambaye atatumika kumlinda Aucho, ila kamwe asiachwe ndio roho ya timu kwa sasa.
 
Na hakuna kocha anayeweza kufanya sub ya kuigharimu timu, kwenye football dakika tano tu unaweza kupigwa goli tatu.
 
Nilikuwa shabiki mkubwa wa Aucho ila utovu wa nidhamu awapo uwanjani umenivunja moyo.

Anafanya makosa ambayo huwezi kuyategemea kutoka kwa mchezaji pro kama yeye, mbadala wake sio mjadala tena... anahitajika haraka.
Hiyo namba ndio timu yenyewe.Kazi chafu ndio majukumu yake.Wengine wanaochezaga hiyo namba wanavutaga hadi bangi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari TFF wamepita nae, amefungiwa mechi 3 na faini ya 500k. All for what? Alikuwa na reason gani ya kumpiga kiwiko Ajiibu? Aucho ana tugharimu, dirisha dogo atafutiwe mbadala
 
Jambo la heri kama in kweli.........na pia likifanimiwa hili tutarudi kukupa maua yako.......na utoe number ya simu kwa maana tutatuma nayakutolea
 
Tayari TFF wamepita nae, amefungiwa mechi 3 na faini ya 500k. All for what? Alikuwa na reason gani ya kumpiga kiwiko Ajiibu? Aucho ana tugharimu, dirisha dogo atafutiwe mbadala
Kwanza hao TFF wenyewe ni wadwanzi tu. Hilo kosa alilofanya Aucho ni la kawaida sana kwa mchezaji awapo uwanjani.

Ajibu alifanya makusudi kumtoa mchezoni Aucho kwa kuudokoa mpira, wakati timu inapambana kutafuta goli la ushindi na ndipo Aucho alipomsukuma.

Hivyo tusiwe wepesi wa kuhukumu. Unless otherwise, kama hujawahi kucheza mpira wa miguu ndiyo utaona alichofanya Aucho ni kosa kubwa.
 
Tusijifiche sana kwenye kuwahi kucheza mpira, whether umecheza mpira au hujacheza haifanyi kukosa nidhamu ya kawaida kabisa uwanjani kuwa sahihi. Ana tugharimu kwa mara nyingine tena baada ya kumkosa fainali ya shirikisho kwa makosa yale yale ambayo hutegemei kuyaona kwa mchezaji professional wa timu ya hadhi ya Yanga. Dirisha dogo atafutiwe msaidizi, anatugharimu sana
 
Bonyeza link hiyo kujiunga 👇👇👇👇👇👇👇
Umekata tamaa na Betting na ujui njia gan utumia kupata pesa kwajili ya kukupa Ada, KUNUNUA nguo, nakulipa Kodi ya nyumba inbox nikuunge watu wengi walio jiunga wameanza kuona faida ya kubet mtaji wa 1,000 unatosha kabisa
 
Bonyeza link hiyo kujiunga 👇👇👇👇👇👇👇
Umekata tamaa na Betting na ujui njia gan utumia kupata pesa kwajili ya kukupa Ada, KUNUNUA nguo, nakulipa Kodi ya nyumba inbox nikuunge watu wengi walio jiunga wameanza kuona faida ya kubet mtaji wa 1,000 unatosha kabisa re
 
Back
Top Bottom