OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Njia ya muongo ni fupi sana. Wiki iliyopita club ya Yanga ilitoa taarifa striker wao ana majeraha aliyoyapata Zanzibar.
Nimefuatilia taarifa za ndani sana, habari hizi hazina ukweli wowote. Mchezaji huyu anadai pesa ya usajili na kaweka mgomo.
Nimedokezwa kama angekuwa kaumia Zanzibar mapinduzi Cup, kwanini taarifa zitoke leo.