OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tafuta interview ya Saido siku ya final Mapinduzi alisema mwenyewe hayupo fit hata juzi kwenye media day alisema the same thing, nakushauri hio pic kwenye avatar yako itoe Lisuu sio mjinga Kama weweNjia ya muongo ni fupi sana. Wiki iliyopita club ya Yanga ilitoa taarifa striker wao ana majeraha aliyoyapata Zanzibar.
Nimefuatilia taarifa za ndani sana,habari hizi hazina ukweli wowote. Mchezaji huyu anadai pesa ya usajili na kaweka mgomo.
Nimedokezwa kma angekuwa kaumia Zanzibar mapinduzi Cup,kwa nini taarifa zitoke leo.
Sawa Hassan bumbuliNjia ya muongo ni fupi sana. Wiki iliyopita club ya Yanga ilitoa taarifa striker wao ana majeraha aliyoyapata Zanzibar.
Nimefuatilia taarifa za ndani sana, habari hizi hazina ukweli wowote. Mchezaji huyu anadai pesa ya usajili na kaweka mgomo.
Nimedokezwa kama angekuwa kaumia Zanzibar mapinduzi Cup, kwanini taarifa zitoke leo.
Hivi huwa huna la kufanya?Njia ya muongo ni fupi sana. Wiki iliyopita club ya Yanga ilitoa taarifa striker wao ana majeraha aliyoyapata Zanzibar...
Jane Lowassa mbona sijaona comment yako kwenye uzi wa Rayvanny na Paula natamani nisikie maoni yakoUtopolo wajinga sana punguwaheed
Umepanic mwenyewe kazi kuongea wanaume wenzako wewe hudaiwi?Mkuuu mbona umepanic sana. Tafuta maji baridi unywe temper ishuke pls pls usipandishe munkari. Babu Saidoo asituletee Ugomvi hapa nguvu alimalizia kwenye Penati za Mapinduzi baada ya Kudhibitiwa na Bw.Mdogo DUCHU
Wiki mbaya sana hiii kwa WanaUtopolo. Kama mnajiskia kichefuchefu lambeni Limao au tapikeni kabisaa tujue mna Mimba changa!Umepanic mwenyewe kazi kuongea wanaume wenzako wewe hudaiwi?
Nyie mwina kaduguda mmeshamlipa elfu tano yake ya chapatiNjia ya muongo ni fupi sana. Wiki iliyopita club ya Yanga ilitoa taarifa striker wao ana majeraha aliyoyapata Zanzibar.
Nimefuatilia taarifa za ndani sana, habari hizi hazina ukweli wowote. Mchezaji huyu anadai pesa ya usajili na kaweka mgomo.
Nimedokezwa kama angekuwa kaumia Zanzibar mapinduzi Cup, kwanini taarifa zitoke leo.
First Lady wa Mbumbumbu fc!Utopolo wajinga sana punguwaheed
Nyie mnavyoenda kupokea timu za kigeni mna shuguri gani za kufanyaHivi huwa huna la kufanya?