GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mbona unawashwa sana na Yanga. Tuliza kinyeo hicho wanaume kazini"Taarifa za ndani zinaeleza Yanga wataondoka Jumamosi alfajiri na watafika Sudan asubuhi kisha jioni watafanya mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Jumapili. Mbinu hiyo waliitumia Simba walipokwenda kuichapa Agosto huko Angola"
Chanzo: Sports Arena Wasafi FM.
Na msivyojua kufikiri wenzenu wenye akili Simba SC 'Advance team' yao ilitangulia Luanda Angola wiki tatu kabla, nyie mijitu yenu iliyotangulia kwenda huko Sudan ndiyo kwanza bado ipo Ethiopia imepotea ndege na inabung'aa bung'aa tu. Na kama wakifika basi ni kesho Alhamisi au Ijumaa wakati mechi yao ni Jumapili saa 2 kamili usiku.
Hovyo kabisa!
Sisi hatuna mechi tulishamaliza kule Luanda Angola,nyie nendeni mkapapaswe lakini angalieni msijerudi na mimba tuYanga na Al Hilal ndio habari ya mjini na sio ile mechi ya wachumba isiyo na mvuto.
Hawa jamaa ni mapimbi sana,kelele haziishiMbona unawashwa sana na Yanga. Tuliza kinyeo hicho wanaume kazini
Punguza hasira ndugu, Yanga anawakilisha nchi ndio jamaa anawashwa.Mbona unawashwa sana na Yanga. Tuliza kinyeo hicho wanaume kazini
Hivi habari za Yanga ndo zinalipa siku hizi?
Maana kila nyuzi ni Yanga ukienda redioni ni Yanga ndo inaongekewa magazetini ni Yanga tu lakini kuna timu nyingi kwenye ligi yetu na nyingine zinajitamba zina mafanikio kimataifa .
Alafu ukishasimanga unapata nini?Zinalipa kivipi sasa???si tuna enjoy kwamba mnaenda kupigwa kama dufu sudan ndo mana kila siku tunawasimanga
Jangwani usiku panapoa kuliko darjoto mchemko, joto mvuke la khartoum, dah maskini ya mungu, bora luanda hali ya hewa haitofautiani na dsm
Kombe gani Simba alileta toka nje ya tz kabla ya yanga!?Simba ndio Kila kitu.
1. KUVAA jezi.
2. Viatu.
3. Kupanda ndege.
4. Kuleta kombe kutoka Nje ya Tz.Kagame,Tusker nk.
5.Nusu fainali na Fainali ya CAF
6.kusajili mchezaji wa kigeni.
7.Ubigwa wa Tanzania.
8. Kumiliki basi.
Ukiwa mkubwa.
.Kucheza na VAR.
.Kuanzisha Tamasha la Simba Day.
Raha duniani na utukufu mbinguni.Alafu ukishasimanga unapata nini?
Hongera sanaRaha duniani na utukufu mbinguni.
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa umefanya mpaka simu yangu imepasuka display kwa kucheka"Taarifa za ndani zinaeleza Yanga wataondoka Jumamosi alfajiri na watafika Sudan asubuhi kisha jioni watafanya mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Jumapili. Mbinu hiyo waliitumia Simba walipokwenda kuichapa Agosto huko Angola"
Chanzo: Sports Arena Wasafi FM.
Na msivyojua kufikiri wenzenu wenye akili Simba SC 'Advance team' yao ilitangulia Luanda Angola wiki tatu kabla, nyie mijitu yenu iliyotangulia kwenda huko Sudan ndiyo kwanza bado ipo Ethiopia imepotea ndege na inabung'aa bung'aa tu. Na kama wakifika basi ni kesho Alhamisi au Ijumaa wakati mechi yao ni Jumapili saa 2 kamili usiku.
Hovyo kabisa!
Nyie si ndio mlihonga wachambuzi wawape ubingwa wa Afrika kwenye vyombo vya habari?Hivi habari za Yanga ndo zinalipa siku hizi?
Maana kila nyuzi ni Yanga ukienda redioni ni Yanga ndo inaongekewa magazetini ni Yanga tu lakini kuna timu nyingi kwenye ligi yetu na nyingine zinajitamba zina mafanikio kimataifa .