GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Taarifa za ndani zinaeleza Yanga wataondoka Jumamosi alfajiri na watafika Sudan asubuhi kisha jioni watafanya mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Jumapili. Mbinu hiyo waliitumia Simba walipokwenda kuichapa Agosto huko Angola"
Chanzo: Sports Arena Wasafi FM.
Na msivyojua kufikiri wenzenu wenye akili Simba SC 'Advance team' yao ilitangulia Luanda Angola wiki tatu kabla, nyie mijitu yenu iliyotangulia kwenda huko Sudan ndiyo kwanza bado ipo Ethiopia imepotea ndege na inabung'aa bung'aa tu. Na kama wakifika basi ni kesho Alhamisi au Ijumaa wakati mechi yao ni Jumapili saa 2 kamili usiku.
Hovyo kabisa!