Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Uto hawajawahi kumiliki akili.Ni upuuzi na kushusha hadhi thamani ya soka letu wenyewe
Nini maana ya kufanya usajili mkubwa kwa wachezaji wakubwa kama bado hofu ya kupoteza mchezo inahusishwa na maswala ya aina fulani ya jezi?
Kwani wanao angaika na jezi ni Yanga au Simba,,maana Simba ndio analalamika kua Yanga anavunja sheria so nani hana akiliUto hawajawahi kumiliki akili.
Hao Makolokolo/Malalamiko/Mbumbumbu/Makelele/Kolowizards/Mikia/Ngada FC ni kuwahurumia tu maana wengi vichwa vyao hutumia kubebea nywele tu wala si akili.Duuh... Kumbe jezi siku hizi zinacheza mpira?
BTW Yanga kumfunga Azam jumapili haiwezi kuwa story ila Azam kumfunga Yanga ndio itakuwa story
WamekwishaHakuna kitu kibaya kama imani, yanga wamejiaminusha kuwa jezi nyeusi ndio yenye bahati kwao.
Sasa kimbembe ni jumapili dhidi ya Azam fc, Azam wanasema watavaa jezi nyeusi, ikumbukwe mwenyeji wa mchezo yeye ndio huchagua atavaa jezi gani.
Ngoja tuone hii vita ya jezi itaishia wapi, ila yanga msipovaa jezi nyeusi jumapili mnafungwa maana mtakuwa mmevunja miiko mliyojiwekea wenyewe.
View attachment 2454846
Simba kimataifa huwa mnaimani kuwa nyumbani (kwa mkapa) hatoki mtu na mnafanya vizuri the same spirit inatumiwa na Young Africans kwenye JerseyNi upuuzi na kushusha hadhi thamani ya soka letu wenyewe
Nini maana ya kufanya usajili mkubwa kwa wachezaji wakubwa kama bado hofu ya kupoteza mchezo inahusishwa na maswala ya aina fulani ya jezi?
IrrelevantSimba kimataifa huwa mnaimani kuwa nyumbani (kwa mkapa) hatoki mtu na mnafanya vizuri the same spirit inatumiwa na Young Africans kwenye Jersey
Msaidieni Gadiel Michael kulipa kwanza faini ya kwenda kuloga uwanjani.Ni upuuzi na kushusha hadhi thamani ya soka letu wenyewe
Nini maana ya kufanya usajili mkubwa kwa wachezaji wakubwa kama bado hofu ya kupoteza mchezo inahusishwa na maswala ya aina fulani ya jezi?