Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Hakuna kitu kibaya kama imani, yanga wamejiaminusha kuwa jezi nyeusi ndio yenye bahati kwao.
Sasa kimbembe ni jumapili dhidi ya Azam fc, Azam wanasema watavaa jezi nyeusi, ikumbukwe mwenyeji wa mchezo yeye ndio huchagua atavaa jezi gani.
Ngoja tuone hii vita ya jezi itaishia wapi, ila yanga msipovaa jezi nyeusi jumapili mnafungwa maana mtakuwa mmevunja miiko mliyojiwekea wenyewe.