Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ndomaana huko mwanzo nilisema wewe ni TUTUSA.Wewe kiazi, tangu lini Zalan na Marumo wakacheza group stage??
Haya hao Simba wako wapi, na ukubwa wao. Mbona tumewagonga TANO.
October 04 2020 Liverpool alipigwa goli 7-2 na Aston Villa, je hiyo inatosha kusema Aston villa ni kubwa kuliko Liverpool kwa wakati ule na hata sasa?
Kaeni jikoni mkate nyanya kama hamna hoja za msingi.