Yanga SC na Michuano ya CAFCL

Wewe kiazi, tangu lini Zalan na Marumo wakacheza group stage??

Haya hao Simba wako wapi, na ukubwa wao. Mbona tumewagonga TANO.
Ndomaana huko mwanzo nilisema wewe ni TUTUSA.

October 04 2020 Liverpool alipigwa goli 7-2 na Aston Villa, je hiyo inatosha kusema Aston villa ni kubwa kuliko Liverpool kwa wakati ule na hata sasa?

Kaeni jikoni mkate nyanya kama hamna hoja za msingi.
 
Kwa hoja hizi unainesha ulivyo OUNGA. Kafirwe ndio kazi unayo weza
 
Nabi amefurushwa? Unazungumzia mwaka jana au mwaka huu? Mbona timu yake mimi kwenye mashindano? Ina maana leo huoni kama mbinu za kocha zilifeli? Kuna sub pale zilitakiwa zifanyike
Mkuu timu inayo fundishwa na Nabi imesha tolewa kwenye champions ligi.
 
Mkuu timu inayo fundishwa na Nabi imesha tolewa kwenye champions ligi.
Aaaah, kweli mkuu nilichanganya na Pyramids, kumbe ile alienda Mayele tu! Ya Nabi kweli ni ile timu ya jeshi ya Morocco!
 
Simba ilisha fika nusu fainal .
 
Ramli chonganishi zinasema yang atapata lose moja, atapata draw mbili na atapata win tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…