Yanga SC nawapenda sana, naomba pangeni Kikosi hiki Novemba 5, 2023 ili Simba SC afe mapema tu sawa?



Ufunuo wa Yohana 14:6.

Kisha nikaona malaika mwingine, akiruka katikati ya mbingu, mwenye Injili ya milele, awahubiri hao wakaao juu ya nchi, na kila taifa na kabila na lugha na jamaa,

7 akasema kwa sauti kuu, Mcheni Mungu, na kumtukuza, kwa maana saa ya hukumu yake imekuja. Msujudieni yeye aliyezifanya mbingu na nchi na bahari na chemchemi za maji.
 
We utakuwa Huna akili timamau

Kila mtu anayegombana na FAKE ID YA CAPO DELGADO.
Mtu huyo ujue hana akili timamu.

Nati zime legea ama ni kichwa chake ni kiazi.
Pumbavu andika kiswahili vizuri zwazwa mkubwa neno " zimelegea" haliandikwi kama ulivyoandika kimbugira kwa kuachanisha nafasi.
 
Unajifanya mtu mwenye busara zake kama unavyohubiri sasa , nataka nikuuulize mtu mwenye busara zake na mchamungu anaweza kupost utumbo kama huu na kuhifadhi katika simu yake ?

Kula chuma hiyo chini πŸ‘‡πŸ‘‡ mimi sina hadithi mbili wala sielewi maandiko yako zaidi ya kushusha vyuma tu..



NB : Kuna chuma nyingine very destructive ninahifadhi kwa matumizi ya baadae KATIKA WAKATI MUHIMU USIO TARAJIA.
 
Mwambia, karibu Yanga.
Mje na Kalpana na Mshana Jr
 
Upendo huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.

1 Wakorintho 13:7
 
Yohana 14:27
Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.


Mjue sana Mungu ili uwe na amani ndivyo mema yatakavyo kujia
Ayubu 22:21.

Kwaherini
 
Upendo huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.

1 Wakorintho 13:7
Mtu kama wewe mshenzi ,mnafiki na mjinga haifai kuweka vifungu vya dini wakati wewe mwenyewe ndio kiongozi wa kuanzisha ugomvi na kuhubiri chuki.

Mleta mada kaweka maoni ya kikosi chake kama ulivyowahi kufanya wewe bila matusi wala kumkejeli mtu ghafla wewe ukaibuka na kauli zisizo na staha halafu unajifanya mwema Kenge wewe...

Nisongee sana kula chuma hio chini πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Wewe uliwahi kuleta maoni na watu wakakuheshimu kwa nini hauheshimu maoni ya mwenzako na kutoa constructive criticism ?
 
Yohana 14:27
Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.


Mjue sana Mungu ili uwe na amani ndivyo mema yatakavyo kujia
Ayubu 22:21.

Kwaherini
Nimejipa dhamana ya kukushughulikia jumla jumla mpaka upumbavu wako ukutoke ,nimetangaza vita ramsi popote ndani ya Jf nitaukosoa upumbavu na ujinga wako kwa hoja.
 
Kwasababu wanacheza na Simba Queens
 
kiherehere chako cha kujifanya unamkosoa genta kila mara sasa kiko wapi? ona sasa watetezi wake wanavyokuumbua hayawani ( fool ) mkubwa Wewe

kazi unayo....
 
Kwa jinsi ulivyoumbuliwa na unavyoendelea tu Kuumbuliwa na adriz ungekuwa na Akili ungekuwa tu Mpole kwani Unachoreka mno kwa Upumbavu na Upunguwani ulionao.

Watu walikuwa Wanakuvumilia tu sasa wameshakuchoka na Upuuzi wako na wameanza Kukuonyesha ni jinsi gani unavyotakiwa kuwa mbele ya wenye Akili Kubwa hapa JamiiForums.
 
Nimejipa dhamana ya kukushughulikia jumla jumla mpaka upumbavu wako ukutoke ,nimetangaza vita ramsi popote ndani ya Jf nitaukosoa upumbavu na ujinga wako kwa hoja.
Kayataka Mwenyewe mnyoosheni sasa Mpumbavu na Punguwani Wahed mkubwa huyo.

Na kuanzia sasa akijipendekeza tu kuja karika Mada zangu haraka sana nakutagi ili uje umalizane nae huku Mimi nikiendelea Kuwanyoosha Wapumbavu wengine wanaofanana nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…