Yanga SC nawapenda sana, naomba pangeni Kikosi hiki Novemba 5, 2023 ili Simba SC afe mapema tu sawa?

Yanga SC nawapenda sana, naomba pangeni Kikosi hiki Novemba 5, 2023 ili Simba SC afe mapema tu sawa?

Pumbavu kabisa ,acha kujifanya mchamungu haupendi ugomvi na mwenye busara zake wakati wewe ni mshenzi ,mgomvi na mjinga pia.

Umeshindwa vita unaleta vifungu ili uonekane mwema kutafuta public sympathy !

Kumbuka wewe unaongoza kea tabia za kishenzi hapa Jf muda mrefu nilikiwa nakuchungulia kwenye rada tu .

Hii vita bado mbichi kabisa usikate tamaa mapema.

Cc : Charles kilian

Ufunuo wa Yohana 14:6.

Kisha nikaona malaika mwingine, akiruka katikati ya mbingu, mwenye Injili ya milele, awahubiri hao wakaao juu ya nchi, na kila taifa na kabila na lugha na jamaa,

7 akasema kwa sauti kuu, Mcheni Mungu, na kumtukuza, kwa maana saa ya hukumu yake imekuja. Msujudieni yeye aliyezifanya mbingu na nchi na bahari na chemchemi za maji.
 
We utakuwa Huna akili timamau

Kila mtu anayegombana na FAKE ID YA CAPO DELGADO.
Mtu huyo ujue hana akili timamu.

Nati zime legea ama ni kichwa chake ni kiazi.
Pumbavu andika kiswahili vizuri zwazwa mkubwa neno " zimelegea" haliandikwi kama ulivyoandika kimbugira kwa kuachanisha nafasi.
 
Ufunuo wa Yohana 14:6.

Kisha nikaona malaika mwingine, akiruka katikati ya mbingu, mwenye Injili ya milele, awahubiri hao wakaao juu ya nchi, na kila taifa na kabila na lugha na jamaa,

7 akasema kwa sauti kuu, Mcheni Mungu, na kumtukuza, kwa maana saa ya hukumu yake imekuja. Msujudieni yeye aliyezifanya mbingu na nchi na bahari na chemchemi za maji.
Unajifanya mtu mwenye busara zake kama unavyohubiri sasa , nataka nikuuulize mtu mwenye busara zake na mchamungu anaweza kupost utumbo kama huu na kuhifadhi katika simu yake ?

Kula chuma hiyo chini 👇👇 mimi sina hadithi mbili wala sielewi maandiko yako zaidi ya kushusha vyuma tu..
IMG_20231101_104254.jpg

IMG_20231101_104306.jpg

NB : Kuna chuma nyingine very destructive ninahifadhi kwa matumizi ya baadae KATIKA WAKATI MUHIMU USIO TARAJIA.
 
1. Abdultwalib Mshery
2. Kibwana Shomary
3. Nickson Kibabage
4. Gift Fred
5. Bakari Mwanyeto Magwaya
6. Jonas Mkude
7. Jesus Moloko
8. Zawadi Mauya
9. Hafidh Konkoni
10. Crispin Ngushi
11. Denis Nkane

Mkipanga Kikosi kinyume na hiki ambacho GENTAMYCINE (mwana Yanga SC lia lia Mwenzenu) nimekitaja hapa mkipigwa (mkifungwa) Goli 7 au 8 na Timu inayojua hadi inakera ya Simba SC msije mkanilaumu sawa?
Mwambia, karibu Yanga.
Mje na Kalpana na Mshana Jr
 
Yohana 14:27
Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.

Mjue sana Mungu ili uwe na amani ndivyo mema yatakavyo kujia
Ayubu 22:21.

Kwaherini
 
Upendo huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.

1 Wakorintho 13:7
Mtu kama wewe mshenzi ,mnafiki na mjinga haifai kuweka vifungu vya dini wakati wewe mwenyewe ndio kiongozi wa kuanzisha ugomvi na kuhubiri chuki.

Mleta mada kaweka maoni ya kikosi chake kama ulivyowahi kufanya wewe bila matusi wala kumkejeli mtu ghafla wewe ukaibuka na kauli zisizo na staha halafu unajifanya mwema Kenge wewe...

Nisongee sana kula chuma hio chini 👇👇👇

Wewe uliwahi kuleta maoni na watu wakakuheshimu kwa nini hauheshimu maoni ya mwenzako na kutoa constructive criticism ?
Screenshot_20231101_113233.jpg

Screenshot_20231101_113244.jpg
 
Yohana 14:27
Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.

Mjue sana Mungu ili uwe na amani ndivyo mema yatakavyo kujia
Ayubu 22:21.

Kwaherini
Nimejipa dhamana ya kukushughulikia jumla jumla mpaka upumbavu wako ukutoke ,nimetangaza vita ramsi popote ndani ya Jf nitaukosoa upumbavu na ujinga wako kwa hoja.
 
Kwasababu wanacheza na Simba Queens
 
UNAHISI MIMI NI MTOTO.
AMA NINA MAMBO YA KITOTO?????

Mimi ni msomi na kijana ninayemjua Mungu. SIWEZI KUSHINDANA NA MWOVU.

waebrania 12:14.

Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;

Mathayo 5:44.
lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,

wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi, waombeeni wale ambao wawaonea ninyi.

Yohana 13: 34.
Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo.

UTAJISUMBUA BURE KUPAMBANA NA FAKE ID
kiherehere chako cha kujifanya unamkosoa genta kila mara sasa kiko wapi? ona sasa watetezi wake wanavyokuumbua hayawani ( fool ) mkubwa Wewe

kazi unayo....
 
Ufunuo wa Yohana 14:6.

Kisha nikaona malaika mwingine, akiruka katikati ya mbingu, mwenye Injili ya milele, awahubiri hao wakaao juu ya nchi, na kila taifa na kabila na lugha na jamaa,

7 akasema kwa sauti kuu, Mcheni Mungu, na kumtukuza, kwa maana saa ya hukumu yake imekuja. Msujudieni yeye aliyezifanya mbingu na nchi na bahari na chemchemi za maji.
Kwa jinsi ulivyoumbuliwa na unavyoendelea tu Kuumbuliwa na adriz ungekuwa na Akili ungekuwa tu Mpole kwani Unachoreka mno kwa Upumbavu na Upunguwani ulionao.

Watu walikuwa Wanakuvumilia tu sasa wameshakuchoka na Upuuzi wako na wameanza Kukuonyesha ni jinsi gani unavyotakiwa kuwa mbele ya wenye Akili Kubwa hapa JamiiForums.
 
Nimejipa dhamana ya kukushughulikia jumla jumla mpaka upumbavu wako ukutoke ,nimetangaza vita ramsi popote ndani ya Jf nitaukosoa upumbavu na ujinga wako kwa hoja.
Kayataka Mwenyewe mnyoosheni sasa Mpumbavu na Punguwani Wahed mkubwa huyo.

Na kuanzia sasa akijipendekeza tu kuja karika Mada zangu haraka sana nakutagi ili uje umalizane nae huku Mimi nikiendelea Kuwanyoosha Wapumbavu wengine wanaofanana nae.
 
Back
Top Bottom