Kwani na wewe unapimaje nafasi ya timu kwa mechi moja? Hivi iwapo simba watacheza kama walovyocheza na ndanda hata top 5 wataipatia wapi!!??. Usitoe maamuzi kwa mpira wa mechi moja, mambo ni motooo sio mida mtaanza kutuangalia kwa darubin tukiwa kileleni na nyinyi mkian[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]We mnywa misoda ligi hata Watford waliongoza sasa wako wapi?
Alafu unajisifu vipi kuongoza ligi baada ya mechi 3?
Mkuu mbona unataka kuwaibisha wanywa soda wenzako?
Tulia hivyo hivyo.. Alafu Kesho baada ya mabingwa watajiwa wa TPL kucheza ndo uje na swali lako tena.
Hahaha.. Mkuu hizo assumptions hazipo.. Tulia Kesho Simba Ya Uturuki.. Tunachanua makucha yetu.Kwani na wewe unapimaje nafasi ya timu kwa mechi moja? Hivi iwapo simba watacheza kama walovyocheza na ndanda hata top 5 wataipatia wapi!!??. Usitoe maamuzi kwa mpira wa mechi moja, mambo ni motooo sio mida mtaanza kutuangalia kwa darubin tukiwa kileleni na nyinyi mkian[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
mnacheza na mbao sio katoko au ndanda ileHahaha.. Mkuu hizo assumptions hazipo.. Tulia Kesho Simba Ya Uturuki.. Tunachanua makucha yetu.
Mkuu unazungumzia Mbao ipi? Hii ambayo haijawahi kutufunga kamwe?mnacheza na mbao sio katoko au ndanda ile
Teh teh tehJapo King Kiba unaanzia benchi.. Tuna imani kubwa nawe.
MakamboHaritier
Kesho ndipo utakapojua upo ugenini au nyumbaniMkuu Ghazwat hivi hawa Ndala wapo ugenini au? Mana sielewi hapa.
Na mauno amuachie nani?Japo King Kiba unaanzia benchi.. Tuna imani kubwa nawe.
Huijuwi nguvu ya buku wewe. Hivi zile bilioni kule Ntwara zilifanya nini?Buku buku fc mmeanza kelele mapema
Nasubiri kuona kesho wakina Mababu wanavyokatwa misumeno
Mkuu kesho tunaimaliza gemu mapema sana.. Dk. 20 tu kazi itakua imeisha.. Karibu Kirumba Mkuu kama uko Kwanza.. Ila kama uko mbali, inatakiwa uwahi uwahi kibanda umiza mapema kabisa.. Ukichelewa utakuta gemu ishaisha.Kesho ndipo utakapojua upo ugenini au nyumbani
Kumbe Gongowazi ame fake!?We ndio bwege kweli,hili goli refa alilikataaa...Yanga walilofunga sio hili
ππππππSawa haji manara