Yanga SC vs Coastal Union

Yanga SC vs Coastal Union

We mnywa misoda ligi hata Watford waliongoza sasa wako wapi?
Alafu unajisifu vipi kuongoza ligi baada ya mechi 3?
Mkuu mbona unataka kuwaibisha wanywa soda wenzako?
Tulia hivyo hivyo.. Alafu Kesho baada ya mabingwa watajiwa wa TPL kucheza ndo uje na swali lako tena.
Kwani na wewe unapimaje nafasi ya timu kwa mechi moja? Hivi iwapo simba watacheza kama walovyocheza na ndanda hata top 5 wataipatia wapi!!??. Usitoe maamuzi kwa mpira wa mechi moja, mambo ni motooo sio mida mtaanza kutuangalia kwa darubin tukiwa kileleni na nyinyi mkian[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Exactly..Timu inakata pumzi, haiwezi kupiga za mfululizo yaani bora liende tu aisee. Namshukuru sana Mungu kuniweka kwa Wanalunyasi
Hahaha.. Huku kwetu Kumenoga.
 
Wanaocheza TPL ni haohao ambao simba anadroo yanga akichukua point 3. Kwani huko mbele TPL timu zitabadirishwa zitakuja zingine ambazo mnahisi simba atazifunga na yanga atadroo?. Mi naona tuangalie kinachoendela sasa
 
Kwani na wewe unapimaje nafasi ya timu kwa mechi moja? Hivi iwapo simba watacheza kama walovyocheza na ndanda hata top 5 wataipatia wapi!!??. Usitoe maamuzi kwa mpira wa mechi moja, mambo ni motooo sio mida mtaanza kutuangalia kwa darubin tukiwa kileleni na nyinyi mkian[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahaha.. Mkuu hizo assumptions hazipo.. Tulia Kesho Simba Ya Uturuki.. Tunachanua makucha yetu.
 
Utaalamu mnaotaka yanga aonyeshe haukuzaa matunda kwa simba hivyo si sahihi kukomaa na kitu kisicholeta matokeo chanya
 
mnacheza na mbao sio katoko au ndanda ile
Mkuu unazungumzia Mbao ipi? Hii ambayo haijawahi kutufunga kamwe?
1. Tumecheza nae mechi 4.. Tumeshinda 3.. Tumedroo 1.
2. Mara ya mwisho katika ligi tulimgonga 5 kavu.
3. Mara ya mwisho tulicheza nae katika kombe la FA fainali tukamgonga 2-1.
Narudia tena unazungumzia Mbao ipi??
 
Nasubiri kuona kesho wakina Mababu wanavyokatwa misumeno
Kesho ndipo utakapojua upo ugenini au nyumbani
Mkuu kesho tunaimaliza gemu mapema sana.. Dk. 20 tu kazi itakua imeisha.. Karibu Kirumba Mkuu kama uko Kwanza.. Ila kama uko mbali, inatakiwa uwahi uwahi kibanda umiza mapema kabisa.. Ukichelewa utakuta gemu ishaisha.
 
Back
Top Bottom