Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Kwa vile ni Simba ya Uturuki -Nanjilinji mkuu!!!Halafu mbona siwaelewi? Kipindi Simba ikishinda goli moja mnasema haitoshi. Leo (Jana) mmeshinda goli moja na mkawa mnapumua kwa mashine huku mkiomba gemu iishe mnasema muhimu pointi 3, inamaana umuhimu pointi 3 ni kwenu Yanga na sio kwa Simba? Au kwavile Simba SC ni Big Brand? [emoji123][emoji3][emoji3][emoji3]
Tusiandikie mate na wino ungalipo mkuu, tuombe uzima yajayo yataamua nani mkweli na nani kaangukia puaHalafu tangu lini adui yako akakuombea mazuri!!!
Vyovyote vile lakini ndo Mabingwa wa Nchi. Upo hapo Mkuu?Kwa vile ni Simba ya Uturuki -Nanjilinji mkuu!!!
Hahahahaaaaa kwa mpira waliocheza jana tarehe 30 vyura watatafuta mpira kwa tochiMkuu.. alikua anacheza Yanga SC dhidi ya Coastal Union. Yanga SC kashinda goli 1 (la offside tena ikiwa ni kwa taaabu sana).
Imagine hadi mpira unaisha, Yanga SC kapiga mashuti 2 tu katika lango la Coastal.. Umiliki wa mpira coastal kaongoza kwa 76% dhidi ya 24%.. Kwa kifupi jana timu nzima ya Yanga lazima watakua walilala na viatu.
NB: Mna bahati King Kiba alipata majeruhi katika mazoezi, lasivyo mlikua mnalala.
Jipe moyo wewe Ndanda FC aka Mikia.Hahahahaaaaa kwa mpira waliocheza jana tarehe 30 vyura watatafuta mpira kwa tochi
Naona mmeshinda bana kwa -1Mkuu.. alikua anacheza Yanga SC dhidi ya Coastal Union. Yanga SC kashinda goli 1 (la offside tena ikiwa ni kwa taaabu sana).
Imagine hadi mpira unaisha, Yanga SC kapiga mashuti 2 tu katika lango la Coastal.. Umiliki wa mpira coastal kaongoza kwa 76% dhidi ya 24%.. Kwa kifupi jana timu nzima ya Yanga lazima watakua walilala na viatu.
NB: Mna bahati King Kiba alipata majeruhi katika mazoezi, lasivyo mlikua mnalala.
Naona mmemaliza dk 20 kama ulivyosema hongereni wekundu wa msimbazi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu kesho tunaimaliza gemu mapema sana.. Dk. 20 tu kazi itakua imeisha.. Karibu Kirumba Mkuu kama uko Kwanza.. Ila kama uko mbali, inatakiwa uwahi uwahi kibanda umiza mapema kabisa.. Ukichelewa utakuta gemu ishaisha.
Nafikiri utakumbuka nilichokuambia, nilisema mnacheza na mbao na sio katoko au ndanda. Ulitoa maneno mengiii ila nafikiri matokeo umeyapata[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu unazungumzia Mbao ipi? Hii ambayo haijawahi kutufunga kamwe?
1. Tumecheza nae mechi 4.. Tumeshinda 3.. Tumedroo 1.
2. Mara ya mwisho katika ligi tulimgonga 5 kavu.
3. Mara ya mwisho tulicheza nae katika kombe la FA fainali tukamgonga 2-1.
Narudia tena unazungumzia Mbao ipi??
NdioHalafu mbona siwaelewi? Kipindi Simba ikishinda goli moja mnasema haitoshi. Leo (Jana) mmeshinda goli moja na mkawa mnapumua kwa mashine huku mkiomba gemu iishe mnasema muhimu pointi 3, inamaana umuhimu pointi 3 ni kwenu Yanga na sio kwa Simba? Au kwavile Simba SC ni Big Brand? [emoji123][emoji3][emoji3][emoji3]
KweliEt naskia yanga Wametwaa wedi kapu
Mi ndo naznduka hvi toka june
Mkuu mbona unanisaka kwenye comments zangu? Kipi umekifanya cha maana zaidi kiwango kibovu kwenye mechi hii.[emoji3][emoji3]