RORYA79
Senior Member
- Apr 3, 2014
- 130
- 61
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Pole Sana mtani.. Mwaka huu pamoja na pesa nyingi mlizotumia... Hampati hata kikombe cha kunywea uji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Pole Sana mtani.. Mwaka huu pamoja na pesa nyingi mlizotumia... Hampati hata kikombe cha kunywea uji
Buku buku fc mmeanza kelele mapemaPole Sana mtani.. Mwaka huu pamoja na pesa nyingi mlizotumia... Hampati hata kikombe cha kunywea uji
Siyo goli hilo limeshafutwaNdala anaongoza kwa goli 1 la offside
Nachojiuliza mimi mpaka sasa.. Kama Ndala wapo uwanja wao, refa wao wanapiga shot on target 1 ndani ya dk 45 kwa timu kama coastal, sasa ikikutana na Mnyama itakuaje? Si tutawapiga nyingi sana hawa? Na 30/09/2018 ifike mapema.Hata lile goli ni basi tu kubebwa. Toka wafunge Makwasukwasu FC wameshikwa vilivyo.
Asiee huyu jama hatari sana, hizi outer nomaHuyu ajib anafanya nn africa?[emoji23]
Mbumbumbu fc hawakupiga hata shuti moja on target kwa ndandaNachojiuliza mimi mpaka sasa.. Kama Ndala wapo uwanja wao, refa wao wanapiga shot on target 1 ndani ya dk 45 kwa timu kama coastal, sasa ikikutana na Mnyama itakuaje? Si tutawapiga nyingi sana hawa? Na 30/09/2018 ifike mapema.
Tunawapiga tu mkuu, kwa kiwango kibovu kama hiki, yule MK14 atagawa hela kama Kitenge alivyogawa vitenge vitatu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nachojiuliza mimi mpaka sasa.. Kama Ndala wapo uwanja wao, refa wao wanapiga shot on target 1 ndani ya dk 45 kwa timu kama coastal, sasa ikikutana na Mnyama itakuaje? Si tutawapiga nyingi sana hawa? Na 30/09/2018 ifike mapema.
Kama kawaida, V.A.R ingekataa hili goli. Shishimbi aliyetoa pasi kwa Makambo alikuwa offside ya wazi kabisa.Makambo kaanza mambo yake
Hahaha.. Ushauri wangu kwa TFF inabidi waandae tu mipira mingi.. Maana naona wachezaji zaidi ya 2 kila mmoja akiondoka na mpira wake baada ya kufunga hat-trick.Tunawapiga tu mkuu, kwa kiwango kibovu kama hiki, yule MK14 atagawa hela kama Kitenge alivyogawa vitenge vitatu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Offside huangaliwa nafasi ya mchezaji wakati mpira unapotoka kwa mpiga pass wa mwisho, kaeudie kuangalia kama kuna offside paleHata lile goli ni basi tu kubebwa. Toka wafunge Makwasukwasu FC wameshikwa vilivyo.
Unadhani Makwasukwasu watakuelewa hapo. Ni heri tu wenye uelewa umewawekea wazi mkuu.Kama kawaida, V.A.R ingekataa hili goli. Shishimbi aliyetoa pasi kwa Makambo alikuwa offside ya wazi kabisa.
View attachment 871502
Sasa hapo Ajibu si ndio kampigia Shishimbi aliye chini hapo? Shishimbi ni huyo aliyewekewa mwanga na Ajibu ni anayepiga mpira.Offside huangaliwa nafasi ya mchezaji wakati mpira unapotoka kwa mpiga pass wa mwisho, kaeudie kuangalia kama kuna offside pale