Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa.. Ndio magoli gani hayo.?Ndala anaongoza kwa goli 1 la offside
Ili si limekataliwa3Kama kawaida, V.A.R ingekataa hili goli. Shishimbi aliyetoa pasi kwa Makambo alikuwa offside ya wazi kabisa.
View attachment 871502
Kwa hisani ya Azam Tv.
Mboba kuna goli alilifunga Kagere lilikua offside likakubaliwa lakini goli kama hilo hilo lilifungwa na Makambo vs Mtibwa lilikataliwa. InatokeaKama kawaida, V.A.R ingekataa hili goli. Shishimbi aliyetoa pasi kwa Makambo alikuwa offside ya wazi kabisa.
View attachment 871502
Kwa hisani ya Azam Tv.
Una shida weweBaada ya gemu kumshinda.. Makombo anajifanya kaumia hivyo wanamtoa, na anaingia 'babu' tambwe
Unawezaje kusema kuwa hajaumia?Kwani Mkuu.. Kuna chochote huyo Makambo kafanya hiki kipindi cha 2? Baada ya kupigwa pini kali... Kaomba Poo.
Aliumia toka mda, pale maumivu yakafikia kiwango cha juuMkuu kama umecheza mpira.. Utatambua tu kua ile ni faulo ya kmtoa mtu au lah.. Kwa upande wangu jibu ni lah.
Tusubiri.Bado dk 10.. Na kwa jinsi Coastal wanavyolisakama lango la Ndala.. Goli linarudi hili.
Ha ha ha Unajua wana uhaba wa Washambuliaji huyo Mwaikambo ndo hirizi yao.Mkuu kama umecheza mpira.. Utatambua tu kua ile ni faulo ya kmtoa mtu au lah.. Kwa upande wangu jibu ni lah.