Yanga SC vs Coastal Union

Yanga SC vs Coastal Union

Gooooooal la la la la la la namna gani hapa Coastal..ilikuwa hatari sana kitu kinagonga upande wa Mbute
 
La maana point 3, nyie la maana kwenu si ni droo!, ongeeni mengi sisi lengo letu ni kuchukua point 3 yanga haipo kufurahisha watazamaji.
 
Kwani kwasasa nani kinala? Unaongea utafikiri umelewa
We mnywa misoda ligi hata Watford waliongoza sasa wako wapi?
Alafu unajisifu vipi kuongoza ligi baada ya mechi 3?
Mkuu mbona unataka kuwaibisha wanywa soda wenzako?
Tulia hivyo hivyo.. Alafu Kesho baada ya mabingwa watajiwa wa TPL kucheza ndo uje na swali lako tena.

Aione ndugu yako Rotomoto
 
Wakuu kwa mpira mliocheza leo.. Nafasi 3 za juu katika TPL msahau.
Exactly..Timu inakata pumzi, haiwezi kupiga pasi za mfululizo yaani bora liende tu aisee. Namshukuru sana Mungu kuniweka kwa Wanalunyasi
 
Back
Top Bottom