Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahahaa. Kazi kweyi kweyi.Nyie mashabiki wa Sumba acheni wivu wa kike
Kwani alikuwa anacheza Yanga au Simba mie sijawaelewa ujue?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaa. Kazi kweyi kweyi.Nyie mashabiki wa Sumba acheni wivu wa kike
Mkuu.. alikua anacheza Yanga SC dhidi ya Coastal Union. Yanga SC kashinda goli 1 (la offside tena ikiwa ni kwa taaabu sana).Hahahahaa. Kazi kweyi kweyi.
Kwani alikuwa anacheza Yanga au Simba mie sijawaelewa ujue?
Hahaaaa. Hizi zako porojo tu Mkuu.Mkuu.. alikua anacheza Yanga SC dhidi ya Coastal Union. Yanga SC kashinda goli 1 (la offside tena ikiwa ni kwa taaabu sana).
Imagine hadi mpira unaisha, Yanga SC kapiga mashuti 2 tu katika lango la Coastal.. Umiliki wa mpira coastal kaongoza kwa 76% dhidi ya 24%.. Kwa kifupi jana timu nzima ya Yanga lazima watakua walilala na viatu.
NB: Mna bahati King Kiba alipata majeruhi katika mazoezi, lasivyo mlikua mnalala.
Lakini kwa mpira mbovu sana HajarDaaah! Nilikuwa nishalog out jana rafiki. Ola afadhali tumepata ushindi aiseee.
Hahaha.. Labda nikuambie kitu, mi mwenyewe nafurahi sana hizi kauli zenu za cha muhimu point. Mmeshambuliwa dk karibia 70 alafu mnashangilia ushindi, kweli? Ingekua sisi masaa 48 baada ya mechi tungekua tunaomboleza.Hahaaaa. Hizi zako porojo tu Mkuu.
Sababu mwisho wa siku hazina nafasi katika msimamo zaidi ya Point na magoli. Nadhani wanielewa Mkuu.
Hahaaa. Sasa ulitaka tufanyeje Mkuu wakati point tatu tunazo kibindoni.Hahaha.. Labda nikuambie kitu, mi mwenyewe nafurahi sana hizi kauli zenu za cha muhimu point. Mmeshambuliwa dk karibia 70 alafu mnashangilia ushindi, kweli? Ingekua sisi masaa 48 baada ya mechi tungekua tunaomboleza.
Ila mnachokifanya kitatusaidia sana 30/09/2018. Palqe timu imara kabisa katika ligi ya msimu huu, Simba SC itakapokutana na timu dhaifu iliyokua ikipambwa na mashabiki + magazeti, Yanga SC.
Yaani wewe waangalia magoli tu hutaki kuona ubovu wa timu yako, shauri zenu. Msije kusema hatukuwaambia siku ya siku halafu mkaanza kushikiana bakora mgogoro ukaanza upyaaHahahaaa. Kwani kwenye ile chart ya msimamo wa ligi kuna sehemu ya kujaza mpira mbovu Sesten? 😜😜😜
Baada ya matokeo ya Ndanda.. Tuliomboleza na kujiuliza sana kwa mda wa masaa 48. Ndani ya huo mda tulipata majibu, na leo tunayaleta kwenu mda wa saa 1 kamili usiku katika uwanja wa CCM Kirumba pale tutakapokua tukiwapa somo Mbao FC.Hahaaa. Sasa ulitaka tufanyeje Mkuu wakati point tatu tunazo kibindoni.
We tulia Mkuu haya unayoyaandika uje kuyaandika hiyo Septemba 30 na ndio naeza kwa mbaali nikajilazimisha kukuelewa sababu ntakutana na weye unayejiona una timu ya maana ambayo mpaka Ndada kakutoa kijasho. Teh teh teh
Dah! Yaani Hajar hadi umeongea Kisambaa sijui Kibondei hicho, kisa ? Kagoli kamoja ka mbiiinde sana😀😀😀Hahahahaa. Kazi kweyi kweyi.
Kwani alikuwa anacheza Yanga au Simba mie sijawaelewa ujue?
Sasa ndio timu tuliyonayo tufanyeje Sesten maana ndio tulipojikuna tukafikia hapo mnapopadharau.Yaani wewe waangalia magoli tu hutaki kuona ubovu wa timu yako, shauri zenu. Msije kusema hatukuwaambia siku ya siku halafu mkaanza kushikiana bakora mgogoro ukaanza upyaa
Hahahaaa. Unajua kujikaza kweli weye.Baada ya matokeo ya Ndanda.. Tuliomboleza na kujiuliza sana kwa mda wa masaa 48. Ndani ya huo mda tulipata majibu, na leo tunayaleta kwenu mda wa saa 1 kamili usiku katika uwanja wa CCM Kirumba pale tutakapokua tukiwapa somo Mbao FC.
ANGALIZO: Refa atakapoanzisha mpira jitahidi uwe mbele ya TV yako.. maana kuna hatari baada ya dk 20 Mbao wakagoma kuendelea na mpira.
Haya Hajar yetu macho tuombe uzima tuSasa ndio timu tuliyonayo tufanyeje Sesten maana ndio tulipojikuna tukafikia hapo mnapopadharau.
Hahaaa. Kushikiana bakora si rahisi sababu timu inazidi kuimprove kila uchwao maana Yanga ya mwisho wa msimu uliopita si sawa na hii ya jana hivyo ni step tumepiga mpaka sasa na nina imani huko mbele itaimarika zaidi.
Hahaha.. Sawa Mkuu tukutane hapa saa 1 na dk 30 baada ya Mbao kuweka mpira kwapani.Hahahaaa. Unajua kujikaza kweli weye.
Hiki unachokiandika nitakicopy kama kilivyo after hiyo mechi sababu hapa umeandika kiushabiki na sio kiuhalisia wa game ya Simba na Mbao inavyokuwa Mkuu.
Vipo vitimu vya kusema vinaweza goma kuendelea kucheza ila sio Mbao Mkuu. Chukua hiyo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikuwepo taifa swahiba?Hahahaaa. Unajua kujikaza kweli weye.
Hiki unachokiandika nitakicopy kama kilivyo after hiyo mechi sababu hapa umeandika kiushabiki na sio kiuhalisia wa game ya Simba na Mbao inavyokuwa Mkuu.
Vipo vitimu vya kusema vinaweza goma kuendelea kucheza ila sio Mbao Mkuu. Chukua hiyo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Mie utaniona asubuhi sababu saa hizo nakuwa busy na mambo ya nyumbani ila usiache kunitag ili asubuhi cha kwanza nije kwenye huo uzi nikuone ulivyokimbia kivuli chako.Hahaha.. Sawa Mkuu tukutane hapa saa 1 na dk 30 baada ya Mbao kuweka mpira kwapani.
King kwenu huko Msimbazi Kwetu tunamuona Popoma tu. Ndio maana tunapiga Timu kiburi!!!Mkuu mna bahati King alipata majeruhi katika warm up.. Lasivyo alikua awamalize.
Halafu tangu lini adui yako akakuombea mazuri!!!Yaani wewe waangalia magoli tu hutaki kuona ubovu wa timu yako, shauri zenu. Msije kusema hatukuwaambia siku ya siku halafu mkaanza kushikiana bakora mgogoro ukaanza upyaa
Unatumia nguvu nyingi kumwelewesha mtu anayejifanya haelewi wakati ukweli anaujua sana!!!Sasa ndio timu tuliyonayo tufanyeje Sesten maana ndio tulipojikuna tukafikia hapo mnapopadharau.
Hahaaa. Kushikiana bakora si rahisi sababu timu inazidi kuimprove kila uchwao maana Yanga ya mwisho wa msimu uliopita si sawa na hii ya jana hivyo ni step tumepiga mpaka sasa na nina imani huko mbele itaimarika zaidi.