laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
Ile mizee ya Simba akina Okwi,Bocco na Kagere iliyoshindwa kuifunga Ndanda ndio iifunge Yanga.?... Simba haina forward imejaa migarasa tu pale mbele isiyokuwa na chochoteTarehe 30/9 yanga watapata kipigo cha mbwa koko
Hiyo mikiki mikiki kwa nini wasingeionyesha na Ndanda?/.... Akina okwi,boco na kagere ni mizee isiyokuwa na chochote zaidi ya ubutuWakuu huyu kipa wetu mbona shati sana ataweza mikiki mikiki ya OKWI BOCCO na KAGERE ?tusije kupata aibu ya karne mbele ya Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mi naona Kagere ni above 40Mkuu penye ukweli panasemwa tu au we unaonaje?
Babu yangu yule ... Ninajivunia kuwa na babu kama yuleMi naona Kagere ni above 40
Lakini ujue kipa wa Ndanda alikuwa mzuri kuliko Kindoki wa Yanga! 😀😀😀Ile mizee ya Simba akina Okwi,Bocco na Kagere iliyoshindwa kuifunga Ndanda ndio iifunge Yanga.?... Simba haina forward imejaa migarasa tu pale mbele isiyokuwa na chochote
Umesahau mwaka jana mlifungana ngapi na stand hapo Uwanja wa Taifa. Maana kipindi kile Mlikuwa na timu bora lakini mkifunga walikuwa wanarudisha mpaka ikawa 3-3. Stand ni wazuri subiri mkicheza nao.Zikiongezwa dk 10 Yanga mnalala
Dua la kuku hilo babu!!!Hata siku walipocheza na Mtibwa hali ilkuwa hivi hivi. Sasa umuhimu wa kikosi kipana utakuja kuonekana pale wachezaji kadhaa wa First Eleven watakapokuwa nje ya uwanja kwa sababu tofauti. Ngoja mechi zipigwepigwe raundi kama nne hivi, majeruhi na kadi za njano ziwaweke nje baadhi, yabaki magalasa
Hata kipa wa Stand united alikuwa mzuri kupita wa Ndanda!.... Na bado akapigwa nne!Lakini ujue kipa wa Ndanda alikuwa mzuri kuliko Kindoki wa Yanga! 😀😀😀
Kwa hiyo unafananisha sare na ushindi..we bwege kweli...jana Simba ilichezesha migarasa yake yote mbele Okwi, Kagere,Bocco, na bado hawajaambulia goli hata mojaUshabiki wa Simba na Yanga ni very dynamic. Jana Simba ametoa sare 0-0 ugenini, mashabiki wake wakawa wanyonge mbele ya wa Yanga, utadhani ni matokeo mabaya sana! Leo Yanga ameshinda 4-3 nyumbani, mashabiki wake wamekuwa wanyonge utadhani matokeo ni mabaya sana! Hapo ujue kila mmoja anajipima hali itakuwaje tarehe 30
Umesahau Simba walivyojambishwa na Ndanda?Bora uwakumbushe mkuu
Sasa muwekeni huyo Kindoki langoni siku hiyo tarehe 30 ndo utawajua hao migarasaKwa hiyo unafananisha sare na ushindi..we bwege kweli...jana Simba ilichezesha migarasa yake yote mbele Okwi, Kagere,Bocco, na bado hawajaambulia goli hata moja
Simba hawana forward..Na timu ni magoliVyura hawana ngome na timu ni ngome
Umekurupuka sana mkuu,kwahiyo ukicheza mkoani ndo unafungwa?. Hivi kikosi cha bilioni 2 na tambo zoooote zile mnaambulia droo kwa kisingizio cha mkoani...unataka kusema mechi zote za mkoani mtafungwa au?Kwani yanga wamecheza mkoani? Mbn wanachonga sana? Kama hamuamini mleteni kindoki taifa tareh 30
Haya mapovu yote ni kwa hisani ya KindokiUmekurupuka sana mkuu,kwahiyo ukicheza mkoani ndo unafungwa?. Hivi kikosi cha bilioni 2 na tambo zoooote zile mnaambulia droo kwa kisingizio cha mkoani...unataka kusema mechi zote za mkoani mtafungwa au?