Yanga Sc Vs Stand Unites Updates.

Yanga Sc Vs Stand Unites Updates.

***** Yanga wanalala na viatu leo...Asanteni sana Chama la wana japo mmefungwa..
 
Team yetu pendwa ya Yanga ina tatizo la kukata pumzi kuazia dakika 70+ hivi na hii sio leo tu ni mara nyingi.
Natamani kocha alione hili mapema sana na awape mazoezi ya pumzi wachezaji.
Golikipa pia anashida kidogo huyu.
I hope watafanyia kazi mapungufu waliyo yaona kwenye match hii
 
***** Yanga wanalala na viatu leo...Asanteni sana Chama la wana japo mmefungwa..
Hata siku walipocheza na Mtibwa hali ilkuwa hivi hivi. Sasa umuhimu wa kikosi kipana utakuja kuonekana pale wachezaji kadhaa wa First Eleven watakapokuwa nje ya uwanja kwa sababu tofauti. Ngoja mechi zipigwepigwe raundi kama nne hivi, majeruhi na kadi za njano ziwaweke nje baadhi, yabaki magalasa
 
Back
Top Bottom