Yanga SC walamba dili kutoka GSM, Wasaini mkataba wa bilioni 1 kwa miaka 5

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Kwa niaba ya GSM Group tunayo furaha ya kutangaza rasmi kuwa tumepanua wigo wa mahusiano yetu na klabu ya Yanga SC.

Tunatangaza rasmi kuwa kampuni mpya ya vinywaji ya GSM imeingia mkataba wa miaka mitano na klabu ya Yanga SC, na mkataba huu una thamani ya Tsh bilion 1” Benson Mahenya CEO wa GSM Group.

=========

Pia soma: Kamwe atangaza ratiba ya Wiki ya Wananchi

Huu ndio ukameme ambao Mzee Magoma alikuwa akiukemea ila kwasababu tu mashabiki wa Gongowazi ni rotted brain hawakuweza ku decode alicho maanisha.

Club ambayo inapanda thamani kila msimu, unathubutuje kuingia mikataba ya miaka mingi?

Yani hapo ni sawa na kusema thamani ya sasa ya Yanga itakuwa ni ya hivyo hivyo kwa miaka yote mitano.
 
Kwa hiyo simba mikataba yao ya biashara ni mwaka mmoja mmoja sio
 
Huu ndio ukameme ambao Mzee Magoma alikuwa akiukemea ila kwasababu tu mashabiki wa Gongowazi ni rotted brain hawakuweza ku decode alicho maanisha.

Club ambayo inapanda thamani kila msimu, unathubutuje kuingia mikataba ya miaka mingi?

Yani hapo ni sawa na kusema thamani ya sasa ya Yanga itakuwa ni ya hivyo hivyo kwa miaka yote mitano.
HOHO
 
Huu mkataba mbona kama wa kimangungo.

Bilioni moja miaka mitano?
Wa bongo mna ujuaji mwingi na wakati hamjawahi kufanya biashara yoyote, siku zote Yanga ipo na Nyie mnaotamani kuweka fedha nyingi ili kufanya biashara inayo fanana na iyo hamkujitokeza.
GSM ametia fedha mnasema mdogo Sasa si Bora ya iyo ndogo kuliko kukosa kabisa!
Nyie mnao ona ndogo mliweka ofa ya kiasi gani.?
 
Huu ndio ukameme ambao Mzee Magoma alikuwa akiukemea ila kwasababu tu mashabiki wa Gongowazi ni rotted brain hawakuweza ku decode alicho maanisha.

Club ambayo inapanda thamani kila msimu, unathubutuje kuingia mikataba ya miaka mingi?

Yani hapo ni sawa na kusema thamani ya sasa ya Yanga itakuwa ni ya hivyo hivyo kwa miaka yote mitano.
😂😂😂 Kolo kama kolo.
 
Back
Top Bottom