Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Mo anatoa shilingi ngapi kwenye yake matangazo yake kwenye jezi za simba?Hili jibu la kiwaki sana. Kwaio kampuni ikiwa changa ndio ibebwe na Yanga ili ikue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mo anatoa shilingi ngapi kwenye yake matangazo yake kwenye jezi za simba?Hili jibu la kiwaki sana. Kwaio kampuni ikiwa changa ndio ibebwe na Yanga ili ikue.
Ili kua tajiri lazima uwa manipulate maskini..ndio gsm anachofanya..anatembea na gepuHuu ndio ukameme ambao Mzee Magoma alikuwa akiukemea ila kwasababu tu mashabiki wa Gongowazi ni rotted brain hawakuweza ku decode alicho maanisha.
Club ambayo inapanda thamani kila msimu, unathubutuje kuingia mikataba ya miaka mingi?
Yani hapo ni sawa na kusema thamani ya sasa ya Yanga itakuwa ni ya hivyo hivyo kwa miaka yote mitano.
Halafu kuwapumbaza maskini, wametumia neno "bilioni"Huu mkataba mbona kama wa kimangungo.
Bilioni moja miaka mitano?
Tena kwa mbali sana , 70,000 kwa 16,666,666 ?Hesabu zinakupiga chenga
Sahihi kabisa, kwangu naona milioni 200 ni ndogo kwa mwaka.Nilifikiri labda brand ya Yanga ni expensive sana kumbe bado wanaingia mikataba ya $80,000 kwa msimu na makampuni?
Kwa yanga walipofika hiyo 1 billion ilipaswa iwe ni mkataba wa msimu mmoja tu.
Kwahiyo yanga watakuwa sahihi, kisa simba wamefanya ujinga zaidi, mendeleo hayaji hivyo.. Unaweza kupata pepa 12% na ukawa wa kwanza kwa wajinga wenzio, wakati wenzako wamegonga 90% huko.. Yanga aangalie yeye kakosea sio simba, ya simba yameshaimbwa mnoo..Kampuni ni changa ndio inaanza, alafu kule kwa makolo mikataba ya mo energy, vindoo vya sabuni etc simba wanaingiza shilingi ngapi?
Kampuni ni changa ndio inaanza, alafu kule kwa makolo mikataba ya mo energy, vindoo vya sabuni etc simba wanaingiza shilingi ngapi?
Hesabu zinakupiga chenga
Pamoja na kukosea kwake, bado haiondoi ukweli kwamba ni mkataba wa kijinga kabisaTena kwa mbali sana , 70,000 kwa 16,666,666 ?
True.Pamoja na kukosea kwake, bado haiondoi ukweli kwamba ni mkataba wa kijinga kabisa
Ndio unaongea nini?Kwahiyo yanga watakuwa sahihi, kisa simba wamefanya ujinga zaidi, mendeleo hayaji hivyo.. Unaweza kupata pepa 12% na ukawa wa kwanza kwa wajinga wenzio, wakati wenzako wamegonga 90% huko.. Yanga aangalie yeye kakosea sio simba, ya simba yameshaimbwa mnoo..
Wajinga ndio waliwaoBilioni 1 kwa miaka 5, kwa mwaka ni milioni 200 🤔🤔
Upuuzi kabisaBilioni 1 kwa miaka 5, kwa mwaka ni milioni 200 🤔🤔
Weeeee!!! Noma kweli!Kwa Mwezi ni laki na sitini kuitangaza biashara yako kwa utopolo
Ukisema mkataba wa kijambazi tuonyeshe mwingine aliye hitaji kutoa iyo huduma kwa pesa nyingi zaidi yake kama hakuna Sasa unalalamika nini!!Hata Azam tv alitoa billion 30 Kwa miaka 10 kupata kibali cha kuonyesha ligi ya Bongo,
Mikataba ya Azam ni kijambazi sana
Sheikh wangu, hata kutokuelewa kwako unataka kunilaumu mimi, laumu akili zako 😂🤣Ndio unaongea nini?
Bora bule kuliko hizo dharauMo anatoa shilingi ngapi kwenye yake matangazo yake kwenye jezi za simba?