Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Mkuu, hapo wa kuitetea YANGA ni nani? MTETEZI WA TIMU ni INJINIA ambaye walimchagua kuwa kiongozi wao. MTETEZI AU MSIMAMIA MASRAHI YA GSM, pia ni huyo huyo INJINIA. Tutegemee nini hapo?Nilifikiri labda brand ya Yanga ni expensive sana kumbe bado wanaingia mikataba ya $80,000 kwa msimu na makampuni?
Kwa yanga walipofika hiyo 1 billion ilipaswa iwe ni mkataba wa msimu mmoja tu.