Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kwa level ya yanga hapo wamepigwa na GSMBilioni 1 kwa miaka 5, kwa mwaka ni milioni 200 π€π€
Wizi mtupuBilioni 1 kwa miaka 5, kwa mwaka ni milioni 200 π€π€
Kwa hiyo simba mikataba yao ya biashara ni mwaka mmoja mmoja sioHuu ndio ukameme ambao Mzee Magoma alikuwa akiukemea ila kwasababu tu mashabiki wa Gongowazi ni rotted brain hawakuweza ku decode alicho maanisha.
Club ambayo inapanda thamani kila msimu, unathubutuje kuingia mikataba ya miaka mingi?
Yani hapo ni sawa na kusema thamani ya sasa ya Yanga itakuwa ni ya hivyo hivyo kwa miaka yote mitano.
Hesabu zinakupiga chengaKwa mwezi ni sawa na elfu sabin daah GSM nyokoooo
Kwa mwezi ni 6,666,667Kwa mwezi ni sawa na elfu sabin daah GSM nyokoooo
Kampuni ni changa ndio inaanza, alafu kule kwa makolo mikataba ya mo energy, vindoo vya sabuni etc simba wanaingiza shilingi ngapi?Bilioni 1 kwa miaka 5, kwa mwaka ni milioni 200 π€π€
Nilifikiri labda brand ya Yanga ni expensive sana kumbe bado wanaingia mikataba ya $80,000 kwa msimu na makampuni?Bilioni 1 kwa miaka 5, kwa mwaka ni milioni 200 π€π€
HOHOHuu ndio ukameme ambao Mzee Magoma alikuwa akiukemea ila kwasababu tu mashabiki wa Gongowazi ni rotted brain hawakuweza ku decode alicho maanisha.
Club ambayo inapanda thamani kila msimu, unathubutuje kuingia mikataba ya miaka mingi?
Yani hapo ni sawa na kusema thamani ya sasa ya Yanga itakuwa ni ya hivyo hivyo kwa miaka yote mitano.
Hili jibu la kiwaki sana. Kwaio kampuni ikiwa changa ndio ibebwe na Yanga ili ikue.Kampuni ni changa ndio inaanza, alafu kule kwa makolo mikataba ya mo energy, vindoo vya sabuni etc simba wanaingiza shilingi ngapi?
Wa bongo mna ujuaji mwingi na wakati hamjawahi kufanya biashara yoyote, siku zote Yanga ipo na Nyie mnaotamani kuweka fedha nyingi ili kufanya biashara inayo fanana na iyo hamkujitokeza.Huu mkataba mbona kama wa kimangungo.
Bilioni moja miaka mitano?
πππ Kolo kama kolo.Huu ndio ukameme ambao Mzee Magoma alikuwa akiukemea ila kwasababu tu mashabiki wa Gongowazi ni rotted brain hawakuweza ku decode alicho maanisha.
Club ambayo inapanda thamani kila msimu, unathubutuje kuingia mikataba ya miaka mingi?
Yani hapo ni sawa na kusema thamani ya sasa ya Yanga itakuwa ni ya hivyo hivyo kwa miaka yote mitano.