Ghiti Milimo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 4,748 Reaction score 7,061 Jul 31, 2024 #61 Muhimbu said: Nilifikiri labda brand ya Yanga ni expensive sana kumbe bado wanaingia mikataba ya $80,000 kwa msimu na makampuni? Kwa yanga walipofika hiyo 1 billion ilipaswa iwe ni mkataba wa msimu mmoja tu. Click to expand... Mkuu, hapo wa kuitetea YANGA ni nani? MTETEZI WA TIMU ni INJINIA ambaye walimchagua kuwa kiongozi wao. MTETEZI AU MSIMAMIA MASRAHI YA GSM, pia ni huyo huyo INJINIA. Tutegemee nini hapo?
Muhimbu said: Nilifikiri labda brand ya Yanga ni expensive sana kumbe bado wanaingia mikataba ya $80,000 kwa msimu na makampuni? Kwa yanga walipofika hiyo 1 billion ilipaswa iwe ni mkataba wa msimu mmoja tu. Click to expand... Mkuu, hapo wa kuitetea YANGA ni nani? MTETEZI WA TIMU ni INJINIA ambaye walimchagua kuwa kiongozi wao. MTETEZI AU MSIMAMIA MASRAHI YA GSM, pia ni huyo huyo INJINIA. Tutegemee nini hapo?
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Jul 31, 2024 #62 Shamba la bwana kheri mali ya bwana kheri.
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Jul 31, 2024 #63 ROOM 47 said: Kwa mwezi ni sawa na elfu sabin daah GSM nyokoooo Click to expand... Naiomba serikali elimu itolewe.
ROOM 47 said: Kwa mwezi ni sawa na elfu sabin daah GSM nyokoooo Click to expand... Naiomba serikali elimu itolewe.
Blender JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 4,870 Reaction score 8,035 Jul 31, 2024 #64 dong yi said: uongoooo.... azam anatoa 22+ kwa mwaka, ni mkataba wa miaka 10! uwe unatofautisha! angetoa bil 30 kwa miaka 10 ina maana ni bil 3 kila mwaka? Click to expand... Kwa hiyo unata kusema Azam anatoa shi ngapi Kwa mwaka
dong yi said: uongoooo.... azam anatoa 22+ kwa mwaka, ni mkataba wa miaka 10! uwe unatofautisha! angetoa bil 30 kwa miaka 10 ina maana ni bil 3 kila mwaka? Click to expand... Kwa hiyo unata kusema Azam anatoa shi ngapi Kwa mwaka