Yanga SC wanavyohangaika na Burudani za kuwa Mabingwa wa Michongo utadhani wamechukua Kombe la CAFCL au CAFCC

Yanga SC wanavyohangaika na Burudani za kuwa Mabingwa wa Michongo utadhani wamechukua Kombe la CAFCL au CAFCC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wakati wenye Akili tunajua kuwa mnaanzia hatua za Awali kabisa (za Wasiojua) kisha Mechi Moja tu mnarejea Kariakoo.
 
Wasisahau kijichagulia ni nani wanataka awapige nje ndani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi wanayooo

DJ waleteeeeee
Screenshot_20220623-095203.jpg
 
Wakati wenye Akili tunajua kuwa mnaanzia hatua za Awali kabisa ( za Wasiojjua ) kisha Mechi Moja tu mnarejea Kariakoo.
Tatizo lenu mnakariri maisha na ndicho kilichowakost ata kwenye mbio za ubingwa, mmeshakariri kwamba yanga anatolewa hatua ya awali sasa kaeni kwa kutulia na msije mkaanza kubadilisha mada na sababu kibao, Na yanga hii kama unaichukulia poa muda utaongea mambo ya maneno maneno, chuki, wivu havina nafasi kwa sasa tunasubili watolewe iyo hatua ya awali mliyokariri vichwani mwenu, na kuhusu ubingwa wameubeba ulitaka wahuzunike au walie?
 
Wasisahau kijichagulia ni nani wanataka awapige nje ndani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi wanayooo

DJ waleteeeeeeView attachment 2271497
Ila kusema ukweli inauma sana, timu inajiona ni bingwa wa kitaifa lakini inaambiwa si chochote wewe nenda kaanzie mchangani huko na wasiojua wenzio!! Inauma sana hasa unapoona timu nyingine ambayo wewe unadhani umeizidi (wakati siyo) ikipewa) shavu la kuanzia round ya 1 na wanaojua wenzake!! Hapa ndipo inapopambanua nani ni mkia wa kweli!!
 
Ila kusema ukweli inauma sana, timu inajiona ni bingwa wa kitaifa lakini inaambiwa si chochote wewe...
Wakati mnashangilia kuanzia hatua ya kwanza, mfanye na maombi ya wachama wa CAF wasiwe wengi watakaomba club licensing.

Mara nyingi mataifa mengine huamua kutoshiriki michuano ya kimataifa.
 
Makolo mngekuwa na uwezo si mgechukuwa kombe..!!

Nendeni vilabuni mkanywe mbege huko Leo, wenzenu wako Mbeya wanakabidhiwa kombe lao
 
Back
Top Bottom