cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena yule Takadini wao aliwaambia wataanza 1St round, kwa kuwa wao mabingwa. Sijui kanuni aliitoa wapi au SOPE FOOTBALL FEDERATION, (SFF).Ila kusema ukweli inauma sana, timu inajiona ni bingwa wa kitaifa lakini inaambiwa si chochote wewe nenda kaanzie mchangani huko na wasiojua wenzio!! Inauma sana hasa unapoona timu nyingine ambayo wewe unadhani umeizidi (wakati siyo) ikipewa) shavu la kuanzia round ya 1 na wanaojua wenzake!! Hapa ndipo inapopambanua nani ni mkia wa kweli!!
DJ waleteeeeeeeeh.