Yanga SC Watamaliza Ligi Wakiwa Wamefungwa goli Zisizo zidi 5

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Je unaona kama mimi au unaona kama mimi?

Ikitokea Yanga SC akamaliza ligi akiwa ame concede goals above 5 ninaweza ahadi ya kugawa elfu 10 kwa kila mwana JF ya bando.

Tumecheza mechi nne mpaka sasa huku tume concede shoot 1 tu on target.

Sioni binafsi timu ya kutusumbua msimu huu.

Tunachotakiwa kufanya wananchi ni kuhakikisha tunafanya maandalizi ya njia ipi itatumika kufanya parade.

Kuna watu mpaka sasa wao ni tia maji tia maji tu, timu haina connection wala nini. Viungo wao sio wanyumbulifu yaani wamekomaa kama mninga.

Beki zao hazieleweki, zinachoma hovyo hovyo hata dhidi ya timu mbovu kama mtibwa sugar.

Forward zao hazisomeki kabisa. Wamejaa wazee pale mbele hadi wengine wananunulia super black ili waonekane wako katika umri sahihi....lakini nalo hola.

Wamecheza mechi 2 wamefunga bao 6. Yanga kacheza mechi 1 kafunga bao 5.

Hofu imetanda kambini kwao. Tajiri kapiga simu kocha kaweka Loud spika wachezaji wameamshwa ili wasikilize.

Hali tete, Jamba Jamba imekuwa ya kiwango kikubwa.
 
Shida sio Yanga, kufungwa au kufunga, tatizo ni uwezo wa kutoa 10,000 kwa member wote wa jamii forum, hata buku hutaweza.
 
Msiweke ahadi ambazo hazitekelezeki, ugawe 10k kwa Kila mwana jf una hizo saving???
 
Shida sio Yanga, kufungwa au kufunga, tatizo ni uwezo wa kutoa 10,000 kwa member wote wa jamii forum, hata buku hutaweza.
Sio wote walio humu ni masikini kama wewe mtani wangu.

[emoji23][emoji23]
 
Je unaona kama mimi au unaona kama mimi?

Ikitokea Yanga SC akamaliza ligi akiwa ame concede goals above 5 ninaweza ahadi ya kugawa elfu 10 kwa kila mwana JF ya bando.

Tumecheza mechi nne mpaka sasa huku tume concede shoot 1 tu on target.

Sioni binafsi timu ya kutusumbua msimu huu.

Tunachotakiwa kufanya wananchi ni kuhakikisha tunafanya maandalizi ya njia ipi itatumika kufanya parade.

Kuna watu mpaka sasa wao ni tia maji tia maji tu, timu haina connection wala nini. Viungo wao sio wanyumbulifu yaani wamekomaa kama mninga.

Beki zao hazieleweki, zinachoma hovyo hovyo hata dhidi ya timu mbovu kama mtibwa sugar.

Forward zao hazisomeki kabisa. Wamejaa wazee pale mbele hadi wengine wananunulia super black ili waonekane wako katika umri sahihi....lakini nalo hola.

Wamecheza mechi 2 wamefunga bao 6. Yanga kacheza mechi 1 kafunga bao 5.

Hofu imetanda kambini kwao. Tajiri kapiga simu kocha kaweka Loud spika wachezaji wameamshwa ili wasikilize.

Hali tete, Jamba Jamba imekuwa ya kiwango kikubwa.
Una akili za mkataba wa bandari wewe[emoji16]

Jf yenye members zaidi ya nusu milion wewe uwagawie elfu kumi kila mmoja.

UTOPOLO bhana, uto Ni uto tu daima.
 
Je unaona kama mimi au unaona kama mimi?

Ikitokea Yanga SC akamaliza ligi akiwa ame concede goals above 5 ninaweza ahadi ya kugawa elfu 10 kwa kila mwana JF ya bando.

Tumecheza mechi nne mpaka sasa huku tume concede shoot 1 tu on target.

Sioni binafsi timu ya kutusumbua msimu huu.

Tunachotakiwa kufanya wananchi ni kuhakikisha tunafanya maandalizi ya njia ipi itatumika kufanya parade.

Kuna watu mpaka sasa wao ni tia maji tia maji tu, timu haina connection wala nini. Viungo wao sio wanyumbulifu yaani wamekomaa kama mninga.

Beki zao hazieleweki, zinachoma hovyo hovyo hata dhidi ya timu mbovu kama mtibwa sugar.

Forward zao hazisomeki kabisa. Wamejaa wazee pale mbele hadi wengine wananunulia super black ili waonekane wako katika umri sahihi....lakini nalo hola.

Wamecheza mechi 2 wamefunga bao 6. Yanga kacheza mechi 1 kafunga bao 5.

Hofu imetanda kambini kwao. Tajiri kapiga simu kocha kaweka Loud spika wachezaji wameamshwa ili wasikilize.

Hali tete, Jamba Jamba imekuwa ya kiwango kikubwa.
NB: Na ubingwa hawatachukua!
 
Mashabiki wa utopolo ni kama manyani - Lucy

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Back
Top Bottom