Yanga SC ya sasa Ina Kikosi Bora Kuliko timu yeyote Tangu Kuasisiwa Kwa LigiKUU Mwaka 1935

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Hii kauli inachochewa. Na Mafanikio ambayo Yanga Imeyapata.

Hiki ni kikosi bora kuliko kikosi chochote katika historia ya mpira wa muguu Tanzaia.

Haijawahi kutokea katika ardhii hii ya Tanzania. Timu ikashiriki fainali ya CAF. Wakati huo huo:-

1. Imetoka kuchukua Taji la ngao ya hisani mwanzoni mwa msimu huo.

2. Inaongoza Ligi & kuchukua Ubingwa ktk msimu husika.

Imetoka kubeba Ubingwa wa Ligi msimu uliopita.

3. Ipo katika fainali za kombe linalo simamiwa na shirikisho laa mpira wa miguu Tanzania yaani ASFC

Yaani kimsingi katika msimu mmoja imeshiriki katika fainali 3.

Ngao ya Hisani
CAFCC
ASFC

HAKUNA TIMU ILIYO FIKIA MAFANIKIO HAYA KTK MSIMU MMOJA.

Bila shaka hiki ni kikosi Bora katila historia ya mpira wa miguu Tanzania.
 
Shirikisho la waliofeli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upupu mtupu.... kucheza na timu za marumo zilizoshika daraja ndo uite kikosi bora
Kabisa Yanga ni upupu kabisa, tangu afeli kucheza CAFCCL kakutana na timu zote zilizoshuka daraja la ligi kuu nchini kwao [emoji4]
 
......................................................................
 
hakuna kikosi bora hapo
mkithibitisha na mwakani ndio tutaamini lakini hamna kikosi cha kutisha ni timu ya kawaida sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Timu zinazogombea treble msimu huu ni
Man city
Young Africans
Wydad
Al Ahly
Man city kamtoa real Madrid

Wydad kamtoa mamelod

Al ahly kamtoa raja

Yanga kamtoa Marumo na ameshuka daraja tayari

Kuna haja ya kuwafananisha hawa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…