demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Hii kauli inachochewa. Na Mafanikio ambayo Yanga Imeyapata.
Hiki ni kikosi bora kuliko kikosi chochote katika historia ya mpira wa muguu Tanzaia.
Haijawahi kutokea katika ardhii hii ya Tanzania. Timu ikashiriki fainali ya CAF. Wakati huo huo:-
1. Imetoka kuchukua Taji la ngao ya hisani mwanzoni mwa msimu huo.
2. Inaongoza Ligi & kuchukua Ubingwa ktk msimu husika.
Imetoka kubeba Ubingwa wa Ligi msimu uliopita.
3. Ipo katika fainali za kombe linalo simamiwa na shirikisho laa mpira wa miguu Tanzania yaani ASFC
Yaani kimsingi katika msimu mmoja imeshiriki katika fainali 3.
Ngao ya Hisani
CAFCC
ASFC
HAKUNA TIMU ILIYO FIKIA MAFANIKIO HAYA KTK MSIMU MMOJA.
Bila shaka hiki ni kikosi Bora katila historia ya mpira wa miguu Tanzania.