Yanga SC yaajiri CEO Mpya mwenye 'Lundo' za 'Kesi' mbalimbali za 'Uhalifu' na 'Hatari' Nyinginezo

Ila wiki hii tumewakimbiza sana hawa makolo
 
Hatuna Shabiki wa Simba SC Mwendawazimu ( Mental ) wa mfano wako sawa? Bakia tu huko huko Yanga SC inatosha.
 
Tuletee na hukumu ya hizo kesi na kwa nini akufungwa mpaka leo, usipoleta hukumu ya hizo kesi basi kaeni kimya hivyo hivyo mpira wa kitanzania na Afrika unahitaji mtu mafia kama uyo jamaa na atawanyoosha
wanamhofia maana tunao mjua ni kwamba yanga imeamua
 
Yale mafanikio ya tp mazembe.usajiri na mipango ni huyo mtine .mutu ya football
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…